Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Shoga unafeli sasa..ndo maana mm nasemaga kwa kujiamini hakuna kitu kinaishi kama uloz..ss wakiwa wanasoma humu ww nini inakukera? Sema tu kumebuma..Hiyo siwezi sema manake huenda huyu bwege na limke lake wamo kwenye huu Uzi yanafatilia.
Ningekuwa mimi ndo wwe ningefanya haya;
1.kubadili jina la mwanangu mapema sana mahakamani
2.kuhama eneo naloishi ikiwezekana omba uhamisho
3.tafuta side hustle kama bado u mwajiriwa...jitumikishe mno mno uongeze kipato
4.ningebadili line za simu zangu na kuanza maisha mapya
5.hakikisha unakua na kipato kumzidi huyo Nguchiro...utaona uyakavyoishi kwa amani!




