Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

Huyu ni mmoja wa waandishi wa habari nchini, mwenye mafanikio makubwa sana, alianza kama ripota tuu wa gazeti la majira, akaenda UK, huko akafanya kazi kwa bidii sana na kujituma hadi akafanikiwa akaanzisha kampuni ya Jambo, ndio inaitangaza utalii wa Tanzania duniani kote!, akarejea nyumbani, akaanzisha gazeti, na ndiye mwenyekiti wa Taswa na ni mjumbe bodi ya TTB!, ni kufuatia mafanikio haya, watu wanamuonea wivu bure na kumsingizia maneno ya uongo!.

Kwa vile huyu hupita VIP, siku hiyo alichelewa hivyo alichofanya hapo ni kumuita kijana wa TAA, kumjulisha yeye ni VIP, hivyo hilo begi lilikuwa na ile tag ya diplomatic bag, haliruhusiwi kupita kwenye mashine wala kuchunguzwa chochote!. Bag aliyobaki nayo ilikuwa hand!.

Watu humu ni mi wivu tuu imejawajaa dhidi ya wenzao waliofanikiwa na ku win!.

Natoa wito kwa wale wote wenye wivu dhidi ya waliofanikiwa, na wao wajitume kwa bidii to "get rich or die trying!"

Just get rich anyhow!, do anything that will get you money!, it doesn't matter much what you do, or how you do, what maters most is "the end justify the means!" ukishazishika!, "ikulu ni sebuleni kwako!.

Kuna siku nilihudhuria ile sherry party ya ikulu, magari yote yalipaki nje ya lango kuu la ikulu, hakuna cha waziri wala balozi, magari yote ni nje!, nilipofika ndani nikaona gari moja tuu limepark ndani, ni Red Ferari!, nikauliza ni ya nani na mbona imepaki ndani?, nikaelezwa ile Red Ferari ni ya mtu anaitwa Tanil Somaiya!, huyu ndie agent wa Rada, Gulf Stream, Helcopter za jeshi na (silaha za jwtz)!! hii ni siri, nimeificha msione!. Ukijiuliza kama mawaziri, na mabalozi wamepaki nje!, who the hell is Tanil?!, endelea kujiuliza who the Angel is JP!.

Pasco.

Hao ndio somaiya group,,, ndio wamiliki wa shivacom, pia waliinunua ultimate security,,,unashangaa hiyo ferari, ,, nenda pale yatch club msasani ukaone wana boti inaelea pale inasubiri w'end wakale bata baharini,,, thamani ya hiyo boti unajenga maghorofa kadhaa mjini!!!!
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.

na zaidi walishtuka umewaona kucha zako halali yao.
 
nilikuwa napanda ndege ya kwenda kampala jnia. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja juma pinto, akaongea na mwaamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu juma pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya taa? Tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift. Who the hell is juma pinto?

ni mwenyekiti wa kamati ya miss tanzania kachukua nafasi ya hashim lundenga
 
Yaani jamaa hakukaguliwa, hivi huyu si ndio mmiliki wa City Sports Lounge?
 
Mungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.

Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri.

Kwa hiyo seriakali mupya ya Mh.Magu imemuweka kwa bodi ya utalii? Au iliyopita? ?
Nchi inatia aibu hii, huyu jamaa alitajwa sana kwenye zile barua za wafungwa kule china, huyu ndie aliesababisha rafiki yangu aliekuwa mke wa marehemu Joshua fashion kufungwa brazili baada ya kuanza kutembea nae na kumbebesha unga, halafu pamoja na kashfa zote hizo eti kateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya utalii, nchi ngumu hii! hao tembo wataponea wapi?
 
We Pasco, kwani Juma Pinto naye ni VIP? Tangu lini. Historia fupi ya Pinto ni hii: Alisoma sekondari ya Alharamain mpaka kidato cha nne, ingawa matokeo yake hayakuwa mazuri. Alicheza soka kwenye timu ya Pan African miaka ya 1990s, kabla ya kuibukia kwenye magazeti kama mwandishi wa habari za michezo. Baadaye alipewa nauli na kibopa mmoja ili aweze kwenda UK kwa dada yake. Inasemekana akiwa huko alijilipua na hivyo kushindwa kurejea nchini mpaka rafiki yake JK alipoingia madarakani. Akiwa UK hakuwa na shughuli yoyote ya maana zaidi ya kutumwatumwa na dadake. Mambo yake yalianza kubadilika kidogo alipoanzisha kampuni ya Jambo akiwa UK. Ilikuwa ni kampuni ya kawaida sana hadi alipopewa dili ya matangazo na JK. Hiyo dili ilikuwa ni shukrani baada ya yeye kumkaribisha na kuishi na Riz1 pale alipoenda kufanya masters UK ingawa alifeli na kurejea nyumbani. Pinto alifanikiwa kupata pasi ya kusafiria na kurejea nyumbani huku akiendelea kupewa upendeleo maalum katika masuala mbalimbali. Hivi sasa ni mshirika mkubwa wa Riz1 kwenye biashara. Sina uhakika kama wanafanya pia biashara haramu.

Kumbe pale Warwick jamaa aliboil??
 
"Jamaa yangu" yule amesemwa sana kuhusu ufisadi, mara richmond, mara afya yake!, hiyo 2015, ndie yeye sasa atakayekuwa, na watu humu watafunga midomo!.

Pasco.

Nadhani Team UKAWA mmepasoma hapa
 
hawa wauza unga mbona hawafanywi chochote kazi kutuharbia vijana
 
Vijana wa TISS hawakuwepo wakati huo au hawakuona huo mchezo.
 
Alikuwa Rais wa TASWA lakini kuna fununu kwamba nae huuza ngada
 
Si Bora Wewe Unavuliwa Viatu Wengine Hadi Tunainamishwa Na Kukaguliwa Tena Kwa Kupigwa Tochi ktk Mabonde Yetu Ya Ufa a.k.a KINYELEO au KINYEO Eti Kwa Kisingizio Kuwa Huwa Tunaficha Bwimbwi Huko Na Mimi Huwa Wakiniambia Tu Niiname Wanikague Huwa Nawajambia Viporo Vyangu Nilivyokula Na Kwa Ile Harufu Wenyewe Huniacha Na Kuniruhusu.
Hahahahahahaaa wewe uchizi ulianza zamani sana.
cc Sumah Mbimbinho UncleBen Mussolin5
 
Unga noma namkumbuka Juma Pinto tuko pale DIT tunasoma wanakuja kufanya mazoezi na timu yao ya TASWA wamechoka yeye na kitenge wanagongea nauli kwa wanafunzi kurudi majumbani kwao mbagala leo unga umempa diplomatic status?
Walikuwa wakiishi Temeke siyo Mbagala
 
Juma Pinto ni mshirika mkubwa wa familia ya JK. Na wanamiliki pamoja gazeti la kila siku la JAMBO LEO.
Pinto alikuwa miongoni mwa waandishi wa gazeti la Majira na alikuwa akiandika sana habari za JK na kuwa kama ilivyo kwa Michuzi.
Hata JK alipojitosa kwenye Urais wakati akichuana na Mkapa, Pinto alikuwa mstari wa mbele, ila sijui kilitokea nini, kwani baada ya Mkapa kuibuka kidedea Pinto alihamia Uingereza ambako aliishi hadi JK alipokuwa Rais.
Deal ya kwanza ya Pinto kupiga na JK ilikuwa ya kutangaza vivutio vya Utalii ughaibuni. Alisimamia mradi tangazo lililokuwa Heathrow Airport na lile lililokuwa kwenye uwanja wa soka wa Goodson Park wa Everton, nadhani na kwenye gazeti moja nadhani Mirror, pia kwenye luninga ya CNN.
Lakini kama mnakumbuka deal ile ilitumia pesa nyingi kuliko uhalisia wa gharama na kukawa na minong'ono ya chini chini kuhusu hilo, na ndipo JK katika hotuba yake bungeni akaja na kauli ya utetezi kuwa 'Ukitaka kula lazima na wewe uliwe japo kidogo'.
Na baada ya deal hiyo ndio Pinto akarudi Bongo akiwa tajiri mkubwa sana.
Ova
Mhh,hiyo kauli ya JK ya ukitaka kula nawe uliwe kidogo inanifanya niwaze mengi,ukizingatia na huyo jp alivyokuwa na shavu dodo na kindeki cha kiushkaji kwa nyuma
 
Na
Mkuu King Kong, kwanza asante kwa hii, hili la kuambiwa nimejivunjia heshima, kila siku linaibuka humu, jibu langu huwa ni moja tuu, ili hiyo heshima nitakayo jivunjia, ivunjike, kwanza ni hiyo yenyewe lazima iwepo ndipo ivunjwe!, kwa bahati mbaya sana, Pasco wa jf, hata hiyo heshima yenyewe hana!, haipo, hivyo hakuna heshima iliyovunjika kwa sababu haipo hata hiyo ya kuivunja!.

Sitetei mtu, ila huu ndio ukweli halisi, Tanzania ya sasa ukiwa na pesa tuu ndio kila kitu!, haijalishi umezipataje, wala unafanya nini to make them, just the end justify kila kitu!.

Mimi wa Pasco wa JF nilikuwa mwandishi tangu enzi za Mwinyi, tukiwa Tambaza, japo sio darasa moja, sisi tukiwa O Level, mtoto wa Mwinyi alikuwa A level na watoto wa Malecela na tulijua pale, kama ni lobbying si ninge lobby?!.

Kwenye Tambaza hiyo hiyo tena darasa moja!, same class, tumesoma na mtoto wa Ben!, Ben anaingia madarakani tunamuona hivi na huku mtoto wake ni rafiki!. Kwa nini nisilobby?!. Kwa Ben mimi nimepelekwa hadi kwa baba na mama na kuwa formely introduced kuwa huyu "tumesoma nae!", nyie Ben mnamuita rais, sisi tunamuita "baba so and so!", kama ni ku lobby, si ningelobby!.

Nimeacha journalism nikaenda UDSM, kitivo cha sheria, pale nimekutana na mtoto wa Jakaya he is like a friend!, kama ni ku lobby halo si ndio pangekuwa penyewe?!. Na kama hujui, baada ya kumaliza UD nilipata kazi ya maana sana FCO, nikiwa ndie mshauri wa siasa wa Balozi wa UK hapa nchini, a well paying job!, niliacha mwenyewe kwa ridhaa yangu, huku nikibembelezwa!, just to pursue my "idea" ya PPR!.

Zile project za 77 na 88 na halfa za ppf/nssf/tpdc etc, zote zinatangazwa kwenye GP watu wanaomba, tena kwa hili ningepaswa kupongezwa ni mimi ndio nilianza kutangaza kama mtangazaji "private!", sasa unaniona nikipungua wamekuja vijana kina Kibonde, Jerry Murro, na watangazaji kibao sasa ni private, hivyo soon nitatoweka na kuibukia mahakama kama advocate wa High Court, nakuhakikishia hakuna lobbying yoyote wala halam,biwi mguu mtu yoyote!.

Hata utetezi wangu kwa EL, right hand man wake anaitwa Abou ni dam dam na mimi, lakini amini usiamini, sitajahi hata kusalimia tuu mzee hata shikamoo tangu ameanza harakata japo kila kukicha natia timu ofisini kwake kumuona Abou!.

Ni kwa kuto lobby huku kuninepelekea mimi kubaki masikini, ila amini usiamini, kuna masikini jeuri, wako radhi kulala njaa, huku jirani next door akimwaga chakula!. Bora kufa njaa kuliko kuwa omba omba!. Mimi ni masikini jeuri wa type hiyo, na enjoy umasikini wangu lakini halali, kuliko ku lobby popote!.

Wapo matajiri wenye utajiri mkubwa wa mali, lakini ni masikini wa roho, bila furaha moyoni, tuma masikini wengi, wenye umasikini wa mali, lakini ni matajiri wa roho, wenye furaha ya kweli maishani!.

Pasco.
nakukubali mno,sijawai kukuona ukitoka nje ya mstari tangu nikujue.Nyie ndio uzao wa Marehemu Ng'wanakilala,keep the spirit maaan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom