Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

Nenda Pale Mnara Wa Askari Samora Avenue Ingia ktk Lile Jengo Refu Ambalo Ghorofa Yake Ya Kwanza Kuna Casino Kubwa La Wauza Bwimbwi Ambalo Riziki Moja Kiwete Ndiyo Mmiliki Wake Mkuu Na Humo Kunapatikana Unga ( Cocaine ) Tena ile Ya Grade A Itokayo SAO POLO Kwa Akina Adriano Nchini Kwao Maxio Maximo, Jaja Bwabwa Na Kotinyoko. KTK Hilo Hilo Jengo Pandisha Lifti Hadi Ghorofa Ya Saba Utakutana Na Ofisi Ya Gazeti La NAJAMBA TODAY Ambalo Wiki Kipwinto Ndiyo Mhariri Wake Mkuu Kisha Utamjua Vizuri. Ana Mashavu Makubwa Utafikiri Panya Ana Mimba Na Mdomo Wake Umebinjuka Fulani Hivi!

Mamamammaae
It plaza nn?
 
Juma Pinto ni mshirika mkubwa wa familia ya JK. Na wanamiliki pamoja gazeti la kila siku la JAMBO LEO.
Pinto alikuwa miongoni mwa waandishi wa gazeti la Majira na alikuwa akiandika sana habari za JK na kuwa kama ilivyo kwa Michuzi.
Hata JK alipojitosa kwenye Urais wakati akichuana na Mkapa, Pinto alikuwa mstari wa mbele, ila sijui kilitokea nini, kwani baada ya Mkapa kuibuka kidedea Pinto alihamia Uingereza ambako aliishi hadi JK alipokuwa Rais.
Deal ya kwanza ya Pinto kupiga na JK ilikuwa ya kutangaza vivutio vya Utalii ughaibuni. Alisimamia mradi tangazo lililokuwa Heathrow Airport na lile lililokuwa kwenye uwanja wa soka wa Goodson Park wa Everton, nadhani na kwenye gazeti moja nadhani Mirror, pia kwenye luninga ya CNN.
Lakini kama mnakumbuka deal ile ilitumia pesa nyingi kuliko uhalisia wa gharama na kukawa na minong'ono ya chini chini kuhusu hilo, na ndipo JK katika hotuba yake bungeni akaja na kauli ya utetezi kuwa 'Ukitaka kula lazima na wewe uliwe japo kidogo'.
Na baada ya deal hiyo ndio Pinto akarudi Bongo akiwa tajiri mkubwa sana.
Ova
 
Mdakuzi niko kwenye device ambayo siwezi kukupa reputation power. Nikiwa na device nyingine nitaitafuta thread hii na nitakupa heshima yako. Hakika inabidi watanzania tuamke ili uovu wa hawa viongozi waandamizi uwekwe wazi. Ni wakati umefika upinzani uchukue nchi na mara moja wapigwe risasi mafisadi wote hasa viongozi wanaotumia nafasi zao kutuibia watanzania. Madawa wapo, mikataba ya madini na gas wapo, mikataba ya mafuta wapo, mikataba yote mikubwa mingine wapo. Kill them.
 
Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwaamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift. Who the hell is Juma Pinto?
Huyu ni mmoja wa waandishi wa habari nchini, mwenye mafanikio makubwa sana, alianza kama ripota tuu wa gazeti la majira, akaenda UK, huko akafanya kazi kwa bidii sana na kujituma hadi akafanikiwa akaanzisha kampuni ya Jambo, ndio inaitangaza utalii wa Tanzania duniani kote!, akarejea nyumbani, akaanzisha gazeti, na ndiye mwenyekiti wa Taswa na ni mjumbe bodi ya TTB!, ni kufuatia mafanikio haya, watu wanamuonea wivu bure na kumsingizia maneno ya uongo!.

Kwa vile huyu hupita VIP, siku hiyo alichelewa hivyo alichofanya hapo ni kumuita kijana wa TAA, kumjulisha yeye ni VIP, hivyo hilo begi lilikuwa na ile tag ya diplomatic bag, haliruhusiwi kupita kwenye mashine wala kuchunguzwa chochote!. Bag aliyobaki nayo ilikuwa hand!.

Watu humu ni mi wivu tuu imejawajaa dhidi ya wenzao waliofanikiwa na ku win!.

Natoa wito kwa wale wote wenye wivu dhidi ya waliofanikiwa, na wao wajitume kwa bidii to "get rich or die trying!"

Just get rich anyhow!, do anything that will get you money!, it doesn't matter much what you do, or how you do, what maters most is "the end justify the means!" ukishazishika!, "ikulu ni sebuleni kwako!.

Kuna siku nilihudhuria ile sherry party ya ikulu, magari yote yalipaki nje ya lango kuu la ikulu, hakuna cha waziri wala balozi, magari yote ni nje!, nilipofika ndani nikaona gari moja tuu limepark ndani, ni Red Ferari!, nikauliza ni ya nani na mbona imepaki ndani?, nikaelezwa ile Red Ferari ni ya mtu anaitwa Tanil Somaiya!, huyu ndie agent wa Rada, Gulf Stream, Helcopter za jeshi na (silaha za jwtz)!! hii ni siri, nimeificha msione!. Ukijiuliza kama mawaziri, na mabalozi wamepaki nje!, who the hell is Tanil?!, endelea kujiuliza who the Angel is JP!.

Paskali
 
Pasco.

WTF! Kwanini begi yake haijakuwa handled like everybody else's na kupitishwa kwenye screening machine? Can you answer that for shit's sake? Why should he be treated like a motherfcuking VIP? Na nani anamwonea wivu? You suck man! *** you!
 
Wana jf napmba kuuloza hivi kuna uhusiano gani kati ya POP (hogo) na dawa za kulevya (sembe/unga/ngada)? maana myu mwenye PoP apitapo pale langoni lazima kengele ilie.

muulize pwinto!
 
Mdakuzi niko kwenye device ambayo siwezi kukupa reputation power. Nikiwa na device nyingine nitaitafuta thread hii na nitakupa heshima yako. Hakika inabidi watanzania tuamke ili uovu wa hawa viongozi waandamizi uwekwe wazi. Ni wakati umefika upinzani uchukue nchi na mara moja wapigwe risasi mafisadi wote hasa viongozi wanaotumia nafasi zao kutuibia watanzania. Madawa wapo, mikataba ya madini na gas wapo, mikataba ya mafuta wapo, mikataba yote mikubwa mingine wapo. Kill them.

Sawa mkuu. Unajua wanasiasa wengi hawatazami sana mapato ya kwenye Utalii na ndio maana mkuu amekuwa akipiga hela sana huko. Kuna hela nyingi za TANAPA zinachotwa tu kila kukicha kwa visibgizio vya kutibia maofosa wa TISS na sababu nyingine za kubuni.
Hata CCM nao wanachota huko, kwa shughuli zao za kisiasa na ndio maana Msekwa yuko TANAPA, kule. Unakumbuka mtu alikuwa anaitwa Juma Ngida au Nyamihela? Naye alikuwa akichota hela huko na kuwa akizichezea na wapambe wake. Nyalandu naye ameshazipiga sana kabla hajawa Waziri kwa visingizio vya kudhamini mashindano hewa ya urembo na timu za soka.
Lakini Tanzania ingeweza kupiga hatua sana kimaendeleo kama kwenye sekta ya Utalii kusingekuwa na ufisadi huu unaoendelea hivi sasa, achilia mbali vyanzo vingine, lakini viongozi wamekuwa wakigawana mapato ya Utalii kifisadi.
Ila hakuna chenye kisichokuwa na mwisho.
Ova
 
WTF! Kwanini begi yake haijakuwa handled like everybody else's na kupitishwa kwenye screening machine? Can you answer that for shit's sake? Why should he be treated like a motherfcuking VIP? Na nani anamwonea wivu? You suck man! *** you!

Mkuu.. isome tena comment ya Pasco.. but this time read it between lines..
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mmoja wa waandishi wa habari nchini, mwenye mafanikio makubwa sana, alianza kama ripota tuu wa gazeti la majira, akaenda UK, huko akafanya kazi kwa bidii sana na kujituma hadi akafanikiwa akaanzisha kampuni ya Jambo, ndio inaitangaza utalii wa Tanzania duniani kote!, akarejea nyumbani, akaanzisha gazeti, na ndiye mwenyekiti wa Taswa na ni mjumbe bodi ya TTB!, ni kufuatia mafanikio haya, watu wanamuonea wivu bure na kumsingizia maneno ya uongo!.

Kwa vile huyu hupita VIP, siku hiyo alichelewa hivyo alichofanya hapo ni kumuita kijana wa TAA, kumjulisha yeye ni VIP, hivyo hilo begi lilikuwa na ile tag ya diplomatic bag, haliruhusiwi kupita kwenye mashine wala kuchunguzwa chochote!. Bag aliyobaki nayo ilikuwa hand!.

Watu humu ni mi wivu tuu imejawajaa dhidi ya wenzao waliofanikiwa na ku win!.

Natoa wito kwa wale wote wenye wivu dhidi ya waliofanikiwa, na wao wajitume kwa bidii to "get rich or die trying!"

Just get rich anyhow!, do anything that will get you money!, it doesn't matter much what you do, or how you do, what maters most is "the end justify the means!" ukishazishika!, "ikulu ni sebuleni kwako!.

Kuna siku nilihudhuria ile sherry party ya ikulu, magari yote yalipaki nje ya lango kuu la ikulu, hakuna cha waziri wala balozi, magari yote ni nje!, nilipofika ndani nikaona gari moja tuu limepark ndani, ni Red Ferari!, nikauliza ni ya nani na mbona imepaki ndani?, nikaelezwa ile Red Ferari ni ya mtu anaitwa Tanil Somaiya!, huyu ndie agent wa Rada, Gulf Stream, Helcopter za jeshi na (silaha za jwtz)!! hii ni siri, nimeificha msione!. Ukijiuliza kama mawaziri, na mabalozi wamepaki nje!, who the hell is Tanil?!, endelea kujiuliza who the Angel is JP!.

Pasco.

Heshima yako mkuu Pasco.. Hivi kuna private party yeyote ya kigogo wa hapa Bongo hujatia maguu??
 
Siku zote MBWA WA MANZESE hawezi kuijua GENTAMYCINE na ndo maana nawaambieni BADILI TABIA ili msiwe Chizi Fureshi vinginevyo mtahororoja kama FaizaFoxy na katika hili walau Pasco anaweza kuwa bonge la Mdakuzi

1415494198225.jpg
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mmoja wa waandishi wa habari nchini, mwenye mafanikio makubwa sana, alianza kama ripota tuu wa gazeti la majira, akaenda UK, huko akafanya kazi kwa bidii sana na kujituma hadi akafanikiwa akaanzisha kampuni ya Jambo, ndio inaitangaza utalii wa Tanzania duniani kote!, akarejea nyumbani, akaanzisha gazeti, na ndiye mwenyekiti wa Taswa na ni mjumbe bodi ya TTB!, ni kufuatia mafanikio haya, watu wanamuonea wivu bure na kumsingizia maneno ya uongo!.

Kwa vile huyu hupita VIP, siku hiyo alichelewa hivyo alichofanya hapo ni kumuita kijana wa TAA, kumjulisha yeye ni VIP, hivyo hilo begi lilikuwa na ile tag ya diplomatic bag, haliruhusiwi kupita kwenye mashine wala kuchunguzwa chochote!. Bag aliyobaki nayo ilikuwa hand!.

Watu humu ni mi wivu tuu imejawajaa dhidi ya wenzao waliofanikiwa na ku win!.

Natoa wito kwa wale wote wenye wivu dhidi ya waliofanikiwa, na wao wajitume kwa bidii to "get rich or die trying!"

Just get rich anyhow!, do anything that will get you money!, it doesn't matter much what you do, or how you do, what maters most is "the end justify the means!" ukishazishika!, "ikulu ni sebuleni kwako!.

Kuna siku nilihudhuria ile sherry party ya ikulu, magari yote yalipaki nje ya lango kuu la ikulu, hakuna cha waziri wala balozi, magari yote ni nje!, nilipofika ndani nikaona gari moja tuu limepark ndani, ni Red Ferari!, nikauliza ni ya nani na mbona imepaki ndani?, nikaelezwa ile Red Ferari ni ya mtu anaitwa Tanil Somaiya!, huyu ndie agent wa Rada, Gulf Stream, Helcopter za jeshi na (silaha za jwtz)!! hii ni siri, nimeificha msione!. Ukijiuliza kama mawaziri, na mabalozi wamepaki nje!, who the hell is Tanil?!, endelea kujiuliza who the Angel is JP!.

Pasco.

View attachment 200325
 
Wapi Mwakyembe! Juma Pinto ni mtu anaetajwa siku nyingi tu kwenye biashara hii ya sembe bila kufwatiliwa. Ye ndo mcheza dili zote na nyuma yake ndo yupo Bilionea Rizwani J. Kijwete.
 
Huyu ni mmoja wa waandishi wa habari nchini, mwenye mafanikio makubwa sana, alianza kama ripota tuu wa gazeti la majira, akaenda UK, huko akafanya kazi kwa bidii sana na kujituma hadi akafanikiwa akaanzisha kampuni ya Jambo, ndio inaitangaza utalii wa Tanzania duniani kote!, akarejea nyumbani, akaanzisha gazeti, na ndiye mwenyekiti wa Taswa na ni mjumbe bodi ya TTB!, ni kufuatia mafanikio haya, watu wanamuonea wivu bure na kumsingizia maneno ya uongo!.

Kwa vile huyu hupita VIP, siku hiyo alichelewa hivyo alichofanya hapo ni kumuita kijana wa TAA, kumjulisha yeye ni VIP, hivyo hilo begi lilikuwa na ile tag ya diplomatic bag, haliruhusiwi kupita kwenye mashine wala kuchunguzwa chochote!. Bag aliyobaki nayo ilikuwa hand!.

Watu humu ni mi wivu tuu imejawajaa dhidi ya wenzao waliofanikiwa na ku win!.

Natoa wito kwa wale wote wenye wivu dhidi ya waliofanikiwa, na wao wajitume kwa bidii to "get rich or die trying!"

Just get rich anyhow!, do anything that will get you money!, it doesn't matter much what you do, or how you do, what maters most is "the end justify the means!" ukishazishika!, "ikulu ni sebuleni kwako!.

Kuna siku nilihudhuria ile sherry party ya ikulu, magari yote yalipaki nje ya lango kuu la ikulu, hakuna cha waziri wala balozi, magari yote ni nje!, nilipofika ndani nikaona gari moja tuu limepark ndani, ni Red Ferari!, nikauliza ni ya nani na mbona imepaki ndani?, nikaelezwa ile Red Ferari ni ya mtu anaitwa Tanil Somaiya!, huyu ndie agent wa Rada, Gulf Stream, Helcopter za jeshi na (silaha za jwtz)!! hii ni siri, nimeificha msione!. Ukijiuliza kama mawaziri, na mabalozi wamepaki nje!, who the hell is Tanil?!, endelea kujiuliza who the Angel is JP!.

Pasco.

just get rich or die tryng hard no matter what!!!
ndo mpango mzima huo
 
Maneno tu hayo, mkikabwa na vibaka kelele mpaka mtaa wa pili, majambazi wakiua na kubaka mnalalamika halafu hapa mnaunga hoja mkono ya "get rich or die trying"!!!!!

Au mnadhani ina mipaka!!!
Sasa imeshukia upande wa afya via MSD, get ready for the show!!!
 
Heshima yako mkuu Pasco.. Hivi kuna private party yeyote ya kigogo wa hapa Bongo hujatia maguu??
Mkuu Nkya, sijawahi kuhudhuria "private party" ya kigogo yoyote, na sio bongo tuu, popote!. Sherry Party sio "private party!".

Pasco.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom