Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwanamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift.

Who the hell is Juma Pinto?
Kwanza tuambie tukio lilitokea lini ili tutafute records za kusafir kwa jana at the material day, pili hujasema alikuwa anaenda wapi? Hapo unaweza kuwa umesaidia wana usalama hata kujua jamaa aliwasiliana na nani siku hyo nk. Otherwise wise andiko lako linaweza kuwa aina flani hivi ya majungu na hakuna atakaye kuamini
 
Mkuu King Kong, kwanza asante kwa hii, hili la kuambiwa nimejivunjia heshima, kila siku linaibuka humu, jibu langu huwa ni moja tuu, ili hiyo heshima nitakayo jivunjia, ivunjike, kwanza ni hiyo yenyewe lazima iwepo ndipo ivunjwe!, kwa bahati mbaya sana, Pasco wa jf, hata hiyo heshima yenyewe hana!, haipo, hivyo hakuna heshima iliyovunjika kwa sababu haipo hata hiyo ya kuivunja!.

Sitetei mtu, ila huu ndio ukweli halisi, Tanzania ya sasa ukiwa na pesa tuu ndio kila kitu!, haijalishi umezipataje, wala unafanya nini to make them, just the end justify kila kitu!.

Mimi wa Pasco wa JF nilikuwa mwandishi tangu enzi za Mwinyi, tukiwa Tambaza, japo sio darasa moja, sisi tukiwa O Level, mtoto wa Mwinyi alikuwa A level na watoto wa Malecela na tulijua pale, kama ni lobbying si ninge lobby?!.

Kwenye Tambaza hiyo hiyo tena darasa moja!, same class, tumesoma na mtoto wa Ben!, Ben anaingia madarakani tunamuona hivi na huku mtoto wake ni rafiki!. Kwa nini nisilobby?!. Kwa Ben mimi nimepelekwa hadi kwa baba na mama na kuwa formely introduced kuwa huyu "tumesoma nae!", nyie Ben mnamuita rais, sisi tunamuita "baba so and so!", kama ni ku lobby, si ningelobby!.

Nimeacha journalism nikaenda UDSM, kitivo cha sheria, pale nimekutana na mtoto wa Jakaya he is like a friend!, kama ni ku lobby halo si ndio pangekuwa penyewe?!. Na kama hujui, baada ya kumaliza UD nilipata kazi ya maana sana FCO, nikiwa ndie mshauri wa siasa wa Balozi wa UK hapa nchini, a well paying job!, niliacha mwenyewe kwa ridhaa yangu, huku nikibembelezwa!, just to pursue my "idea" ya PPR!.

Zile project za 77 na 88 na halfa za ppf/nssf/tpdc etc, zote zinatangazwa kwenye GP watu wanaomba, tena kwa hili ningepaswa kupongezwa ni mimi ndio nilianza kutangaza kama mtangazaji "private!", sasa unaniona nikipungua wamekuja vijana kina Kibonde, Jerry Murro, na watangazaji kibao sasa ni private, hivyo soon nitatoweka na kuibukia mahakama kama advocate wa High Court, nakuhakikishia hakuna lobbying yoyote wala halam,biwi mguu mtu yoyote!.

Hata utetezi wangu kwa EL, right hand man wake anaitwa Abou ni dam dam na mimi, lakini amini usiamini, sitajahi hata kusalimia tuu mzee hata shikamoo tangu ameanza harakata japo kila kukicha natia timu ofisini kwake kumuona Abou!.

Ni kwa kuto lobby huku kuninepelekea mimi kubaki masikini, ila amini usiamini, kuna masikini jeuri, wako radhi kulala njaa, huku jirani next door akimwaga chakula!. Bora kufa njaa kuliko kuwa omba omba!. Mimi ni masikini jeuri wa type hiyo, na enjoy umasikini wangu lakini halali, kuliko ku lobby popote!.

Wapo matajiri wenye utajiri mkubwa wa mali, lakini ni masikini wa roho, bila furaha moyoni, tuma masikini wengi, wenye umasikini wa mali, lakini ni matajiri wa roho, wenye furaha ya kweli maishani!.

Pasco.
Well said Mayalla
Wewe ni mpiganaji na jasiri Mwl Nyerere aliwahi kusema hakuna umasikini mbaya duniani kama umasikini wa mawazo ukiwa na fikira sahahi na mawazo sahihi na maamuzi sahihi na kutenda wakati sahihi hakuna linaloshindikana
 
kwa jinsi unavyotirirka,utamtaja na Magufuli tu.
Kwa Mujibu wa Makonda,urodha yake haikutoka mbinguni,ni wenyewe kwa wenyewe wanatajana,yeye anafanya uchunguzi wa awali kabisa,ndio anaamuru ufike kituoni.Hawezi kurukia watu tu hovyo

Huna unacho kijua. Ni hila za kisiasa na mapenzi tu. Afanyie kazi hiyo list sio kuumizana vichwa na kujipatia umaarufu bure.
 
Huna unacho kijua. Ni hila za kisiasa na mapenzi tu. Afanyie kazi hiyo list sio kuumizana vichwa na kujipatia umaarufu bure.
wewe umefanyia kazi listi ipi?kuongea nyuma ya keyboard huku ukiwa na jina feki ni rahisi sana,mmebakia kuhamisha magoli sasa
 
REDDS.jpg


Malecela With Jambo Leo Concepts Owner Chairman Juma Pinto.
Malecela au Le mutuz!
 
Weee yupo kama panya
Nenda Pale Mnara Wa Askari Samora Avenue Ingia ktk Lile Jengo Refu Ambalo Ghorofa Yake Ya Kwanza Kuna Casino Kubwa La Wauza Bwimbwi Ambalo Riziki Moja Kiwete Ndiyo Mmiliki Wake Mkuu Na Humo Kunapatikana Unga ( Cocaine ) Tena ile Ya Grade A Itokayo SAO POLO Kwa Akina Adriano Nchini Kwao Maxio Maximo, Jaja Bwabwa Na Kotinyoko. KTK Hilo Hilo Jengo Pandisha Lifti Hadi Ghorofa Ya Saba Utakutana Na Ofisi Ya Gazeti La NAJAMBA TODAY Ambalo Wiki Kipwinto Ndiyo Mhariri Wake Mkuu Kisha Utamjua Vizuri. Ana Mashavu Makubwa Utafikiri Panya Ana Mimba Na Mdomo Wake Umebinjuka Fulani Hivi!
 
Maneno tu hayo, mkikabwa na vibaka kelele mpaka mtaa wa pili, majambazi wakiua na kubaka mnalalamika halafu hapa mnaunga hoja mkono ya "get rich or die trying"!!!!!

Au mnadhani ina mipaka!!!
Sasa imeshukia upande wa afya via MSD, get ready for the show!!!
MSD kuna nini mkuu? Nina ndugu yangu pale...
 
Leo umebwana hata lakuongea huna.
Unakurupuka akwambie nn wakat unaona hii thread ni ya tangu mwaka 2014. Aunasoma tu bila kufatilia
Kwanza tuambie tukio lilitokea lini ili tutafute records za kusafir kwa jana at the material day, pili hujasema alikuwa anaenda wapi? Hapo unaweza kuwa umesaidia wana usalama hata kujua jamaa aliwasiliana na nani siku hyo nk. Otherwise wise andiko lako linaweza kuwa aina flani hivi ya majungu na hakuna atakaye kuamini
 
List ya makonda imekosa mashiko kwa kukosekana huyu jamboleo
 
Huyu Juma Pinto ujanja wake wote na mambo yake nyuma yake yupo the big boss Ridhiwan.. huyu alibeba sana mabox hadi aliporushiwa taulo akarudi bongo.. bila huyo big boss yy kapuku tu kama mimi na wewe... naishia hapa
 
Pinto inasemekana anaishi/amemuoa binti mmoja anajiita Queen Komanya - watu wa karibu na huyu mdada wanamtuhmu kufanya biashara ya sembe obviously akishirikiana na Pinto. Huyu Queen anae dada/mdogo wake yuko pale bandari anaishi kama malaika - yeye kila leo hubadilisha mikwanja ya nguvu. Yeye pia zipo tuhuma za kufanya biashara ya ngada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom