kwa jinsi unavyotirirka,utamtaja na Magufuli tu.Makonda Usipowataja hawa watu katika Phase zijazo basi movement yako itakuwa ipo kisiasa na tutaipigia kampeni kwa wananchi waidharau.
-Kinje
-Juma Pinto
-Riz1
-Masogange
-Rumishael Shoo.
-Zungu MB Ilala.
-Mchungaji Rwakatare
-Nabii Mwingira.
-Dida Mchops.
-Muna Luv.
-Diamond.
-Masanja Mkandamizaji.
-Fundikira (Ex wa Jack Patrick)
-Jux
-B12
-Salaah and Co(GSM)
-Salaam
-Fela
-Tale
-Ruge
Kwa Mujibu wa Makonda,urodha yake haikutoka mbinguni,ni wenyewe kwa wenyewe wanatajana,yeye anafanya uchunguzi wa awali kabisa,ndio anaamuru ufike kituoni.Hawezi kurukia watu tu hovyo
