Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

DMV

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
58
Reaction score
63
Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwanamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift.

Who the hell is Juma Pinto?
 
mhhh......
huku wengine tunavuliwa had viatu ***** walahi
 
Niliwahi kusikia hata zile screening machines za JNIA zilinunuliwa na kufungwa hapo kwa hisani ya Juma Pinto! Wafanyakazi wote wa JNIA wanaohusika na ukaguzi wa mizigo wanajua hilo, na hakuna anayethubutu kukagua mzigo wake. Nchi imeuzwa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom