Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

mhhh......
huku wengine tunavuliwa had viatu ***** walahi

Pole kaka ila haya mazaga ya kuvuliwa viatu mpaka mtu anakuuliza swali moja mara 3 kua umekuja huku kufanya nn?Unampa jibu zaid ya mara 3 bado mtu ana mashaka na wewe.Haya yote yamefanywa na watu wachache ila Mungu wetu bado anaishi na atalipa yote hayo.Wanadamu hatuwezi ila Mungu anaweza yote
 
Si Bora Wewe Unavuliwa Viatu Wengine Hadi Tunainamishwa Na Kukaguliwa Tena Kwa Kupigwa Tochi ktk Mabonde Yetu Ya Ufa a.k.a KINYELEO au KINYEO Eti Kwa Kisingizio Kuwa Huwa Tunaficha Bwimbwi Huko Na Mimi Huwa Wakiniambia Tu Niiname Wanikague Huwa Nawajambia Viporo Vyangu Nilivyokula Na Kwa Ile Harufu Wenyewe Huniacha Na Kuniruhusu.

Mkuu unanifanya nionekane chizi maana nimecheka.
 
Pole kaka ila haya mazaga ya kuvuliwa viatu mpaka mtu anakuuliza swali moja mara 3 kua umekuja huku kufanya nn?Unampa jibu zaid ya mara 3 bado mtu ana mashaka na wewe.Haya yote yamefanywa na watu wachache ila Mungu wetu bado anaishi na atalipa yote hayo.Wanadamu hatuwezi ila Mungu anaweza yote

Asante yani unapigwa sachi kma umemuibia mke
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.

Duh! kumbe wanaoguswa ni kina Sitty tu, wenyenchi ukiwagusa unapotezwa!
 
Nchi inatia aibu hii, huyu jamaa alitajwa sana kwenye zile barua za wafungwa kule china, huyu ndie aliesababisha rafiki yangu aliekuwa mke wa marehemu Joshua fashion kufungwa brazili baada ya kuanza kutembea nae na kumbebesha unga, halafu pamoja na kashfa zote hizo eti kateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya utalii, nchi ngumu hii! hao tembo wataponea wapi?

pole sana ila one day yes!!!
MUNGU huyu huyu km si kwake ht kwenye damu yake
 
Nenda Pale Mnara Wa Askari Samora Avenue Ingia ktk Lile Jengo Refu Ambalo Ghorofa Yake Ya Kwanza Kuna Casino Kubwa La Wauza Bwimbwi Ambalo Riziki Moja Kiwete Ndiyo Mmiliki Wake Mkuu Na Humo Kunapatikana Unga ( Cocaine ) Tena ile Ya Grade A Itokayo SAO POLO Kwa Akina Adriano Nchini Kwao Maxio Maximo, Jaja Bwabwa Na Kotinyoko. KTK Hilo Hilo Jengo Pandisha Lifti Hadi Ghorofa Ya Saba Utakutana Na Ofisi Ya Gazeti La NAJAMBA TODAY Ambalo Wiki Kipwinto Ndiyo Mhariri Wake Mkuu Kisha Utamjua Vizuri. Ana Mashavu Makubwa Utafikiri Panya Ana Mimba Na Mdomo Wake Umebinjuka Fulani Hivi!

aisee yaani hii nchi
 
Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwaamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift. Who the hell is Juma Pinto?

Unga noma namkumbuka Juma Pinto tuko pale DIT tunasoma wanakuja kufanya mazoezi na timu yao ya TASWA wamechoka yeye na kitenge wanagongea nauli kwa wanafunzi kurudi majumbani kwao mbagala leo unga umempa diplomatic status?
 
Si Bora Wewe Unavuliwa Viatu Wengine Hadi Tunainamishwa Na Kukaguliwa Tena Kwa Kupigwa Tochi ktk Mabonde Yetu Ya Ufa a.k.a KINYELEO au KINYEO Eti Kwa Kisingizio Kuwa Huwa Tunaficha Bwimbwi Huko Na Mimi Huwa Wakiniambia Tu Niiname Wanikague Huwa Nawajambia Viporo Vyangu Nilivyokula Na Kwa Ile Harufu Wenyewe Huniacha Na Kuniruhusu.

Dah nakumbuka siku moja natoka dar kuja mwanza nikiwa na family.mtoto wangu alikua amevinjika mguu hivyo alikua amefungwa POP (muhogo), kww kweli walimisumbua saana jamaa hawa maana kila alipopitishwa mtoto kengele ililia tuuui.dah kweli tabu.
 
Wana jf napmba kuuloza hivi kuna uhusiano gani kati ya POP (hogo) na dawa za kulevya (sembe/unga/ngada)? maana myu mwenye PoP apitapo pale langoni lazima kengele ilie.
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.
Principle ya See Nothing, Say Nothing!
Yaweza kuokoa maisha yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom