His days are numbered,labda apae kwenda Mars! Za mwizi ni arobaini.Matambo ya Ritz nayo yatakoma very soon. Hakuna aliye juu ya sheria na hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.Uovu una mwisho.ukimgusa huyu umemgusa jk himself...huyu,riz1,kinje ni big time yayo dealers..they push weight.
Hàhaha nimekumbuka mbali hahshaNa wewe ubadilishe simu bana ungetakiwa upige picha matukio yote alafu unakuja nayo humu embu jitahidi ununue simu nyingine yenye flash itakusaidia kwenye matukio kama hayo
Imeandikwa tangu enzi kuwa ndege wa rangi moja............
Bila shaka ana hsli ngumuHuyu bwana ashalalamikiwa sana,acha hilo la uwanja wa ndege,kuna mengi mabaya yanayomuhusu tumeshayajadili humu! Watu wa usalama wapo na wanaona! Ni suala la muda tu..yataisha yote haya!
Dada wa Taifa amenifanya nitake kumjua huyu
Dah 😆Nenda Pale Mnara Wa Askari Samora Avenue Ingia ktk Lile Jengo Refu Ambalo Ghorofa Yake Ya Kwanza Kuna Casino Kubwa La Wauza Bwimbwi Ambalo Riziki Moja Kiwete Ndiyo Mmiliki Wake Mkuu Na Humo Kunapatikana Unga ( Cocaine ) Tena ile Ya Grade A Itokayo SAO POLO Kwa Akina Adriano Nchini Kwao Maxio Maximo, Jaja Bwabwa Na Kotinyoko. KTK Hilo Hilo Jengo Pandisha Lifti Hadi Ghorofa Ya Saba Utakutana Na Ofisi Ya Gazeti La NAJAMBA TODAY Ambalo Wiki Kipwinto Ndiyo Mhariri Wake Mkuu Kisha Utamjua Vizuri. Ana Mashavu Makubwa Utafikiri Panya Ana Mimba Na Mdomo Wake Umebinjuka Fulani Hivi!
Ameweka clip Insta anamfurahia jinsi alivyokuwa akimuelezea marehemu LembebezDa Mange Kasemaje kuhusu Juma Pinto? 😀 😀


Duuuh!!Juma Pinto ni owner wa magazeti ya Jambo Leo na ndiyo wenye ule mzigo mzito alioshikwa nao Masogange kule South Africa lkn serikali ikaiingilia kati, mzigo ukaruhusiwa. Nchi imekwisha hii