Hii ya Juma Pinto Inatisha

Hii ya Juma Pinto Inatisha

Nchi inatia aibu hii, huyu jamaa alitajwa sana kwenye zile barua za wafungwa kule china, huyu ndie aliesababisha rafiki yangu aliekuwa mke wa marehemu Joshua fashion kufungwa brazili baada ya kuanza kutembea nae na kumbebesha unga, halafu pamoja na kashfa zote hizo eti kateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya utalii, nchi ngumu hii! hao tembo wataponea wapi?
 
Huyu bwana ashalalamikiwa sana,acha hilo la uwanja wa ndege,kuna mengi mabaya yanayomuhusu tumeshayajadili humu! Watu wa usalama wapo na wanaona! Ni suala la muda tu..yataisha yote haya!
 
Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwaamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift. Who the hell is Juma Pinto?

Kwa Kukusaidia Tu Hebu Mtafute Mmiliki Wa Gazeti Ambalo Huyo Wiki Kipwinto Analifanyia Kama Mhariri Mkuu Kisha Ndipo Utajua Ni Kwanini Moja Ya Begi Lake Halikupitishwa Sehemu Ya Ukaguzi. Kifupi Ni Kwamba Wiki Kipwinto Ni Msafirishaji Wa Sembe a.k.a Powder Za Bosi Wake Riziki Moja Kiwete. Pole Kwa Kutomjua Huyo ILA Anajulikana Kwa Shughuli Hiyo.
 
Niliwahi kusikia hata zile screening machines za JNIA zilinunuliwa na kufungwa hapo kwa hisani ya Juma Pinto! Wafanyakazi wote wa JNIA wanaohusika na ukaguzi wa mizigo wanajua hilo, na hakuna anayethubutu kukagua mzigo wake. Nchi imeuzwa!!!

Sasa huu uongo hakuna kitu kama icho selikarini kila kitu kina bajeti yake
 
Wakuu, Mwenye picha yake huyo Dogo Juma Pinto atuwekee hapa wengine hatumjui.

Nenda Pale Mnara Wa Askari Samora Avenue Ingia ktk Lile Jengo Refu Ambalo Ghorofa Yake Ya Kwanza Kuna Casino Kubwa La Wauza Bwimbwi Ambalo Riziki Moja Kiwete Ndiyo Mmiliki Wake Mkuu Na Humo Kunapatikana Unga ( Cocaine ) Tena ile Ya Grade A Itokayo SAO POLO Kwa Akina Adriano Nchini Kwao Maxio Maximo, Jaja Bwabwa Na Kotinyoko. KTK Hilo Hilo Jengo Pandisha Lifti Hadi Ghorofa Ya Saba Utakutana Na Ofisi Ya Gazeti La NAJAMBA TODAY Ambalo Wiki Kipwinto Ndiyo Mhariri Wake Mkuu Kisha Utamjua Vizuri. Ana Mashavu Makubwa Utafikiri Panya Ana Mimba Na Mdomo Wake Umebinjuka Fulani Hivi!
 
mhhh......
huku wengine tunavuliwa had viatu ***** walahi

Si Bora Wewe Unavuliwa Viatu Wengine Hadi Tunainamishwa Na Kukaguliwa Tena Kwa Kupigwa Tochi ktk Mabonde Yetu Ya Ufa a.k.a KINYELEO au KINYEO Eti Kwa Kisingizio Kuwa Huwa Tunaficha Bwimbwi Huko Na Mimi Huwa Wakiniambia Tu Niiname Wanikague Huwa Nawajambia Viporo Vyangu Nilivyokula Na Kwa Ile Harufu Wenyewe Huniacha Na Kuniruhusu.
 
hahahahahaaaa
 
aaah unachekehsa wewe huu upwagu wako balaa
 
Si Bora Wewe Unavuliwa Viatu Wengine Hadi Tunainamishwa Na Kukaguliwa Tena Kwa Kupigwa Tochi ktk Mabonde Yetu Ya Ufa a.k.a KINYELEO au KINYEO Eti Kwa Kisingizio Kuwa Huwa Tunaficha Bwimbwi Huko Na Mimi Huwa Wakiniambia Tu Niiname Wanikague Huwa Nawajambia Viporo Vyangu Nilivyokula Na Kwa Ile Harufu Wenyewe Huniacha Na Kuniruhusu.

Ha ha haaaaaaaaa umenivunja mbavu sn
 
Nilikuwa napanda ndege ya kwenda Kampala JNIA. Laini ilikuwa ndefu kidogo, ghafla kaja Juma Pinto, akaongea na mwaamke fulani kwa dakika kama 5.

Juma alikuwa na mabegi mawili, kisha akaja kijana akachukua begi moja na kupita nalo bila kupitia kwenye mashine.

Juma akarudi nyuma, akaendelea na maongezi kwa muda huku akiwa na rollon bagg (carryon) na hatimaye kuingia ndani.

Swali langu, huyu Juma Pinto ni nani hadi kupitisha begi bila kusachiwa, tena na mtu mwenye baji ya TAA? tena kupitisha begi kwa staili ambayo sijawahi kuona, very swift. Who the hell is Juma Pinto?

Na wewe ubadilishe simu bana ungetakiwa upige picha matukio yote alafu unakuja nayo humu embu jitahidi ununue simu nyingine yenye flash itakusaidia kwenye matukio kama hayo
 
Mshirika wa WA RIZ ONE ktk ile biashara yao wanayo fanya na KINJE......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom