isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,409
Acha uongo wewe,Somaiya Group hawawezi kujiusisha na hako ka chori tanil,Hao Somaiya Group ni familia kabla Tz haijapata uhuru wao wana hela,wakati huyo ponjolo tanil ametokea Mwanza walikuwa na kiduka kidogo tu tena juzijuzi miaka ya 80,hiyo Somaiya Groip ni kama wakina Karimjee na familia ya Yusuph Manji wanahela tangu enzi ya mkoloniHao ndio somaiya group,,, ndio wamiliki wa shivacom, pia waliinunua ultimate security,,,unashangaa hiyo ferari, ,, nenda pale yatch club msasani ukaone wana boti inaelea pale inasubiri w'end wakale bata baharini,,, thamani ya hiyo boti unajenga maghorofa kadhaa mjini!!!!