Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,144
- 128,789
Mkuu Kido kidole007 hayo ni kweli!, ila utajiri na umasikini is just an atitude of mind!, ukiwaza kimasikini, unaishia kuwa masikini kweli, lakini ukiwaza kitajiri, unakuwa tajiri kweli, hivyo if you wan't to get rich, you'll be rich!, but to be rich you got to start thinking like rich, behaving like rich, once you think like rich, richness will come to you, you'll have to get rich, if not, you'd rather die trying such that if you can't get rich, unaishi ili iweje?!, better be dead than being poor!, kuna type fulani ya umasikini ni laana!, bora try, ukifa on tying, na ukifika mbinguni angalau mule utapewa utajiri kwa sababu you died trying to be rich!, ila ukiridhika na umasikini, ukifa, wewe ni straight motoni!, kwa sababu utaonekane uliridhika!.Hizi motto za get rich or dying trying
Ndio zimepelekea kushamiri biashara za madawa ya kulevya
Get rich or die trying; tembo wetu wanakaribia kuisha wajukuu zetu wataishia kuona picha kma tunavyoona picha za dinosaurs Leo
Get rich or die trying: watumishi wa umma kupokea rushwa wazi wazi na kuingia mikataba isiyo tija
Get rich or die trying;walimu badala ya kufundisha anauzia watoto ubuyu
Get rich or die trying; matapeli wakubwa kwa mgongo wa dini
All hustlers out there keep getting rich or die trying
Matajiri wote wataendelea kuwa matajiri hadi mbinguni, na masiki vivyo hivyo, ndio maana makanisa ya sasa ya kina Rwakatare, Mzee wa Upako, Gwajima, etc, yote, badala ya ufalme wa Mungu, sasa yanahubiri utajiri tuu na sio umasikini tena!.
Pasco.