Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,399
- 191,510
Soko lao gumu sana kwahio atajitahidi kuku keep kwa gharama yeyote tu.Demu Kama huyo na uhakika kwanza anaweza kumaliza miez 6 bila hata kutongozwa kwahiyo ukijichanganya tegemea kung'ang'aniwa na kuandamwa kila sehem, anaweza hata kulipa watu wakufatilie