Changamoto na msaada: Wanandoa mliwezaje kupata wenza wenu wa maisha

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,220
1,411
Mimi ni mwana JF wa siku nyingi japo niliacha kutumia JF na KUDELETE ACCOUNT 2016.
Na 2018 nilirudi kwa staili ya kusoma habari za JF kwa "KUFOLLOW LINK" kutoka FB (bila Ku log in MAANA SIKUA NA ACCOUNT TENA).
Ila nimeamua kurudi kwa kuwa MTANZANIA MWENZENU NIMETINGWA..!!

Ni HIVI....

Hili ni tatizo ambalo limekua likinisumbua muda mrefu (almost 9 Years)

Naombeni USHAURI wenu au TECHNIC zenu za KUPATA mweza wa maisha (MKE)..

SAMAHANI KWA TAARIFA NYINGI KIASI, JAPO NAZITOA ILI MUWEZE KUNISAIDIA.

SINA LENGO JENGINE LOLOTE.

NA WAVIVU WA KUSOMA ""NAOMBA MSOME YOTEE ILI MUWEZE KUNISAIDIA KIJANA MWENZENU WA KIUME NIMETINGWA""

Kifupi story yangu ya mapenzi iko hivi..

1. Baada ya kupata ajira private firm @ DSM (baada ya kumaliza diploma) nilianza kujitegemea.
Na demu wangu wa kwanza alikua msukuma.
Huyu nilimpenda Sanaa (kutokana na malengo yangu).
Ila ile siku naanza kumgegeda tu nikakuta amekeketwa na nilipomuuliza juu ya hilo ALINIACHA SIKU HIYO HIYO..
Alisema NILIMKERA KUMUULIZA..!!!

2. Nikapata mdigo.
Mtoto mzuri Sanaa kitandani na chumbani, hilo jicho mashallah..!!
Nilimkuta kamaliza chuo na hana ajira na stress kibao za kutokua na ajira.
Niliamua kumtafutia ajira nikiwa na malengo "baada ya kupata kwake ajira akili yake itulie then nimletee proposal ya kumuoa""
Bwana eeh nilituma applications za job kama zotee.
Pale ofisini nilikua nafatilia ajira kama nimekua Job Agency..!!
Mara pap nikapata post serikalini..
Nikamuandikia barua na CV na kutuma.
Mungu bariki akapata.
Baada ya miezi 5 ya ajira nikamletea proposal ya kumuoa alichonijibu "SIOLEWI NA KAFIRI MIMI..!!"" (MI NI MKRISTO) ile kauli iliniumiza Sanaa "Yaani Mimi niliyekutoa kulee chini ukiwa na stress za maisha nimegeuka KAFIRI?"
Akasema nikitaka kumuoa nibadili dini niwe muislamu ndio nimuoe.
Nikagoma, kilichotokea tumezinguana tarehe 02/May na 27/May akapost picha FB yupo na bwana Harusi (muislamu mwenzake) shehe anachoma ubani...

Kudadeki mkosi gani huu.. MSAADA WANGU WOTE UMEGEUKA MAUMIVU KWANGU?
Maana hata huyo muislamu mwenzake kumbe walikutana kazini, KAZI AMBAYO NILIMTAFUTIA MIMI..!!!!

Nikapata ajira serikalini...
NIKIWA SERIKALINI @ MBEYA

3. Nikapata mchaga.
Huyu alikua mvaa vitenge mpole balaa.
Yaani nikimkosea tu Naumia mwenyewe.
Banaa eeh tulidumu na mapenzi motomoto..
Kuna siku nilienda kwake kulala, akaniacha chumbani ye akaenda kazini.
Nikaamua kukifanyia chumba chake "USPAY".. "SI NIKAKUTA ARV KAMA KG. 100 HIVI NA KADI YAKE YA CLINIC YA UKIMWI KWENYE NGUO ZAKE KAZIFICHA" dah nili data mazee...
YAANI UPOLE WOTEE WA HUYU DEMU KUMBE KUNA SIRI KUBWA HIVI KANIFICHA?.!!!
Niliamua kubaki mpaka arudi ili nithibitishe ni zake.
Alivyorudi nikajifanya Nina usingizi mkaliii "Bwana eeh akidhani nimelala simuoni si akachokonyoa kweli zile dawa na kuzibwia"

Dah NILISEPA HAPOHAPO SIKUAGA, Nakumbuka ilikua SAA 7 usiku.. Nilitoka Mbeya mjini mpaka Tunduma (gheto).
SIJUI YALE MAPORI YA MBEYA NA MBOZI NILIPITAJE... ILA NILIFIKA GHETO...!!!!

4. Nilipata ruhusa na kwenda masomoni (bachelor) MKOA mwengine.
Nikiwa Second Year nikapata mrembo First year.
Toto zurii la kimasai..
Dah nikadata, mapenzi motomoto, outing kama zote. Mikoa yotee ya jirani na chuo tuliijua.
Kwenye likizo bana ya semester ya pili. Akabadilika; nikimpigia simu hapokei, Mara akipokea anaongea kidogo, Mara anakata, Mara usiku wa manane hawezi tena kuongea...
Alileta sanaaa drama.
Nikiwa na maumivu ya "WHAT IS GOING ON" rafiki yake (ambae pia alikua rafiki yangu na nilimjua mmasai kupitia yeye) alielewa situation yangu.
Akaniita bar na kunipa full story.
Kumbe mmasai wangu ni MKE WA MTU..!! Aliniambia mengi na kifupi alinionya "WOTE WAWILI TUNA ADVANTAGE KWAKE (mimi na mmasai)... NISIZAME SANAA MAANA RAFIKI YAKE NI MKE WA MTU NA PIA MIMI NI RAFIKI YAKE SANA, KWAHIYO ALIAMUA KUNIFANYIA HISANI KWA KUSEMA UKWELI KUHUSU RAFIKI YAKE (mmasai) KWAKUWA MIMI PIA NI RAFIKI YAKE"
Dah roho iliniuma sana.

Chuo kilipo funguliwa nilimtafutia kisa mmasai wangu ili nilete hii AGENDA. Bana eeh si akanichana "KWELI YE NI MKE WA MTU NA ALINIPENDA TU KWASABABU ALIKUA NA SHIDA NA MAMBO YA DARASANI (ye alisoma diploma muda mrefu then akili zilisha chacha) THEN ALIVYOULIZA MARAIA WAKAMWAMBIA MIMI NDIO NIPO VIZURI, THEN ALIAMUA KUNIPENDA ILI ANITUMIA KAMA KIPANGA WAKE WA KUMUOKOA NA MASUP NA MA ASSIGMENT MAANA YE KAFATA TU CHETI APELEKE KAZINI KWAKE @ ALIKUWA MUAJIRIWA WA SHIRIKA KUBWA SANAA TZ"

NILIUMIA SANAA, ila Nikaona poa tuu.. Tukaendelea KULANA TU BILA MALENGO kwa maelewano "CHUO KIKIISHA KILA MTU AFATE ZAKE".!!

Dah nikamaliza Bachelor na kusepa.. TUKAISHIA HAPO na MMASAI..!!!

5. Nikamua kuacha kazi serikalini ili nijiajiri.
Ila pia niliamua kuunga kusoma Masters, nikaenda kusomea Dar.
Nikiwa darasani dar nikapata mtoto mzuri.. Mzaramo.

Dah siku ya siku nakuja kumgegeda nikagundua analiwa mpaka tigo, Maana katikati ya mgegedo alini OFFER TIGO na nilivyoongea nae anasema HAWEZI ACHA MCHEZO HUO.
Mi nikamwambia "Mi sio mteja wa hayo mambo na SITOKAA KUTUMIA HIYO HUDUMA KAMWE"
SIKU HIYO HIYO BAADA YA MGEGEDO TULIACHANA KISA "MI SIFANYI ATAKAYO KITANDANI"

NIKAJIULIZA MBONA ISHATIMIA MIAKA 5 TOKEA NAANZA KUTAFUTA MKE.. NITAPATAJE NA WAPI?

6. Nika graduate Masters, Nikarudi mkoani kuendelea na mambo yangu yaliyonifanya niache ajira serikalini@kujiajiri.
Nikiwa nahudhuria TRA ili ku LEGALISE MY BUSINESS..
Nikakutana na mtoto wa kinyakyusya TRA hapo.
Mtoto kaumbika balaa.
Alipenda Sanaa kunihudumia, yaani pamoja na foleni yoote ya TRA ila nilikua nikifika tu namtafuta ndani ya nusu saa nishamaliza..
Dah nikamtongoza, tukaanza maisha ya mahaba.
Katika harakati zetu nikagundua vitu viwili
1. Alilelewa na mama tu, then akikosewa na mwanaume mmoja basi anachukia WANAUME wotee "NADHANI NI SUMU ALIZOLISHWA NA MAMA AKE KUHUSU BABA AKE"
2. Alikua anavaa mipira mingii tumboni ili kubana KITAMBI.

Kuna siku nikaamua kuvunja ukimya na kumuuliza kuhusu baba ake "YUKO WAPI?" na kuhusu kufanya mazoezi "ili kupunguza hizo nyama ambazo hazitaki mpaka anazibana na manguo ya mipira"..

Nilipoleta HOJA ya BABA ake ALINITUKANA SANAA na KULIA na mpaka Leo "TUMEKUWA MAADUI".
Hampendi baba ake hata KUMSIKIA..!!!

7. Mara mtoto wa kihehe huyu hapa.
Huyu alikua so romantic na mchapa kazi.
Nikiwa nikitoka job naenda kumtembelea na yeye anakuja gheto.
Bana eeh si kuna siku tumelala kwake naona simu inaita sanaaaa na hapokei.. Then akawa ana wasiwasi balaa..

Nikaamua kuikariri ile namba then kesho yake nikaipiga.

Nikagundua kumbe yule alikua bwana ake na ndio aliyemleta huu mkoa.
Yaani alimkuta Demu Dar hana dira wala direction..!!
Akampangia chumba na kumuwekea kila kitu ndani mkoani huku, halafu jamaa ni dereva wa malori.
Kwahiyo akiwa safarini huja kulala "Then ni kama MKE wake mdogo @ jamaa DSM ana MKE WA NDOA"
Na jana yake usiku alikua anampigia simu kumtaarifu MKE MDOGO "Yupo njiani anakuja"

Dah nikahisi majanga gani haya "JE DEREVA MALORI ANGENIKUTA NDANI NAMGEGEDA BIBI WAKE MDOGO HUKU KODI NA KILA KITU NDANI KATOA YEYE, SI ANGENIUA MIMI JAMANI?""

Nilimshukuru dereva kwa kuwa muwazi kwangu.
MIMI NA MUHEHE TUKAISHIA HAPO.

8. Nikapata Msafwa FB. Banaa eeh.. Yupo mkoa wa jirani.
Ikawa kila mwezi natuma nauli then ANAKUJA KUNISALIMIA.
Nilipanga malengo ya safari hii ya mwisho aje then tuondoke WOTE kwa wazazi wake wakanione (nilipanga iwe surprise)...

NINAVYO TYPE HII POST HAPA, YUPO HOSPITAL KALAZWA, MAANA KAPIGWA SANAA NA KUNYANG'ANYWA SIMU NA KILA KITU NA MCHUMBA AKE ALIYE MCHUMBIA NA HADI KWAO WANAMJUA (Kumbe alikua na MCHUMBA then mimi nilikua MCHEPUKO).

Kumbe hii mipango yetu ya safari ya mwisho ya Mimi na yeye, huyo JAMAA AKE ALIIONA KWENYE SIMU YA DEMU NA ALIVYOGUNDUA "MCHUMBA AKE@DEMU WANGU ANAFANYA MADUDU, ALIAMUA KUNITAFUTA NA TULIONGEA TUKAAMBIANA UKWELI WOTEE"

Nimeamua kumuachia na MKE NDIO NIMEKOSA TENA KWA STAILI HII...

Sasa hapa nilipo ni mwaka wa 9 tokea naanza hii PROCESS ya KUTAFUTA MKE.
Yaani sijui nitapata wapi...

Na kama POMBE SITUMII niliacha pombe tokea May/2017, Baada ya kuji ANALYSE NIKAONA HAZINA FAIDA KWENYE UCHUMI WANGU.

Na baada ya kuanza MAZOEZI (Nina mwaka sasa) SITUMII kinywaji chochote cha dukani@ARTIFICIAL DRINK (Energy drink, juice za dukani, soda, N.K)..
Yaani Mimi ni MAJI, MAZIWA NA ORIGINAL/BLENDED JUICE tuuu...

To make story short na SIWEZI KUANDIKA WOTE (MAANA NITAMALIZA MWAKA NIKIWA NATYPE); Yaani kati ya hao 8 ni SAMPLE za kueleza tu "WHAT IS GOING ON IN MY LOVE LIFE (RELATIONSHIP)".

Achana na hao 8, kuna wale ambao "DAH NI VIMEOO" balaaa SITAKI HATA KUWAKUMBUKA...

Kuhusu AFYA Niko fit.. Nafanya sana MAZOEZI (hasa ROAD RUNNING), Na kwasababu SIPENDI KUTUMIA CONDOM, THEN SIWEZI KUGEGEDANA bila KUPIMA HIV na juzi nimetoka kuchoma SINDANO YA PILI YA CHANJO YA HOMA YA INI (HEP. B) (Bado sindano ya MWISHO, KADI IMESEMA NITACHOMA MWAKANI)

THEN AFTER ALL ABOVE...
""NIPENI TECHNIC MAJAMAA WA HUMU MLIOA MLIWEZAJE KUPATA WENZA WENU (WAKE) HAO????""..

MBONA MI SIONI NAPOKOSEA?

ILA yule Mdigo (02) aliniumiza Sanaa yaani ndio alinifundisha MAUMIVU YA MAPENZI NI NINI?
JAPO "TIME HEALS" ila baada ya kuniacha ALINIFUNZA MENGI YA KUWA MWANAUME.

""ETI WADAU MLIFANYAJE FANYAJE KUPATA HAO WAKE ZENU, MBONA MWENZENU SIPATI?""

AU NDIO NISUBIRI 40's Yrs huko kama FID Q, Mr. Sugu na Prof. Jay walivyofanya kuoa na miaka HIYO?

#UZI_TAYARI...
 
Tayari naona umesha weka Tanganzo la kutafuta mke kiakilikili........wakija wengi nitupiepo mmoja.......mkuu
 
Mkuu pole sana kwa unayopitia ila kuna mambo kwa upande wako hayapo sawa

Inaonekana unapenda wanawake ambao wapo timilifu kimuonekano na kiuchumi hapo unaangukia kwenye wake/wachumba za watu. Wahenga walisema, 'ukiona vyaelea ujue vimeundwa'
Nini ufanye;
Njia ndefu
1. Fanya utafiti kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano.
2. Kutokana na vigezo vyako vya mke umtakae, anzisha mahusiano na binti wa kawaida umjenge na kumfanya awe vile wewe utakavyo.

Njia ya mkato
Jifunze namna ya kupora wachumba wa wenzako na kuwafanya kuwa wako. Hii inahitaji uwe mbunifu, pia ujifunze ukatili na kutokujali hisia za wengine.

Nikutakie kila la kheri na mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Bila shaka hii ni stori tu...

Anyway kila shetani na mbuyu wake, wako wa ubani utampata tu ukituliza papara...
 
Nadhani inbox yako imejaa waomba maombi wanaohitaji kuolewa.
Kuwa makini jiepusha na wapenzi ombaomba wanawake wengi kwa sasa akili zao zipo anticlockwise hazieleweki.
Wanaotaka ndoa ni wengi lakini wanaojua ndoa ni wachache.

Unafeli kutokana na jinsi ulivyojiweka mwenyewe unapenda matawi marefu sana na mazingira unayoshinda yanakuponza.
 
Mkuu Usiwe Na Haraka Mwanamke Hatafutwi Kama Swala Na Mwindaji.

Ukiwahi Sana Ukifika 40yrs Utakosa Cha Kufanya.

Ila Nakukumbusha Jitathimini Na Tabia(Mwenendo) Yako Kidogo Ipo Sawa
 
Tayari naona umesha weka Tanganzo la kutafuta mke kiakilikili........wakija wengi nitupiepo mmoja.......mkuu
Jifunze PROOF READING kabla hujapost (andika vizuri)... Nia yangu ni kusaidiwa mkuu... #SINA_JENGINE.
 
Huyo mchagga HIV + , wewe uliponaje?
Hili nalo lilinipa ADDITIONAL KNOWLEDGE kwenye maisha yangu.
Baada ya siku kadhaa za kuachana nae nilikaza miguu na kwenda Hospital kupima.
Na majibu yalivyotoka NEGATIVE hata mimi nilishangaa na kumuuliza Dk. KULIKONI NIKAPONA?

Alichonijibu ni kuwa "Kwa mtumiaji mzuri wa ARV huwa HAWEZI KUAMBUKIZA MTU kwasababu virusi HUFUBAZWA na ARV, na akiwa anatumia muda mrefuu ukimpima utakuta NEGATIVE (Virusi huondoka kwenye fluid zotee za mwili na main damu (red liquid) isipokuwa kwenye LYMPH NODES na FLUID yake, huku ARV huwa haiwezi kufika kuua virusi then virusi HUJIFICHIA HUKO)..!!!

Pia kwenye SEX hata kama hatumii ARV ila ukimuandaa vizuri K ikaloa vyakutosha, ile fluid ya K huondoa POSSIBILITIES za kutokea FRICTION ambazo husababisha MICHUBUKO na michubuko huleta BLOOD TO BLOOD CONTACT"

Refer HIV and AIDS EDUCATION.
 
Ilikuwaje kwa mchagga kumgegeda bila kupima???
Chai imezidi tangawizi hii..

Back
Top Bottom