rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,974
Si ndo anamuoaa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kichefuchefu binti hana maadili na sijui km hiyo ndoa bado ipo
Si ndo anamuoaa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kichefuchefu binti hana maadili na sijui km hiyo ndoa bado ipo
Kwa aibu aliyopata pale sidhani labda amrogeAjabu mkaka wala hataona...
Kuna kitu bwana anayependa anapata upofu ...yani haoni kituuu
Kwani yeye anaona hayo sasa...Yanii huyu jamaa amepatikanaaaa... mwanamke ana guts za kumwambia hivyo mbelee za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huko ndani mbona atamtukania mpaka mama akeee... jamaa awe zaidi ya falaa
Ila wanawake bwana! Hapo mwenyewe kafuraaaaahi!Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.
Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....
Kaka kazi unayo
Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Kwamba mwanaume ndo anaolewa hapo sawaSi ndo anamuoaa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu mwamba alie oa hakuna rangi hatoonaHilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache kelele[emoji23]View attachment 2485482
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaelewanaa haooo tuwaache mkuu... ishu ni wazazi wake wataumia sana kuona mtoto wao kabeba kimeooKwamba mwanaume ndo anaolewa hapo sawa
Hii ndoa ikitoboa miaka 10 wakatatoe sadaka ya shukurani !Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache kelele[emoji23]View attachment 2485482
Hawa bado watoto, wameoana wakati either wote ni immatured or mmoja waoHayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.
Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....
Kaka kazi unayo
Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
UtotoHilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache kelele[emoji23]View attachment 2485482
Pole yao sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanaelewanaa haooo tuwaache mkuu... ishu ni wazazi wake wataumia sana kuona mtoto wao kabeba kimeoo