Hii simu ijae picha zangu tuuu

Hii simu ijae picha zangu tuuu

Kuna dalili unaziona mapema kabisa kuwa mwanaume anaenda kuteseka katika ndoa...mtu unayo pesa yakutosha sasa unaoa ili iwe nini?
Bro unaweza ukakuta Ke ndiye mwenye mzigo, halafu si unajua hawa ke wakiwa na mzigo watakupelekesha na mwana asipokuwa Nduli ndani ya nyumba atavurugwa haswa.

Yaani kama movie imeanza halafu Sterling katekwa.
 
Namsii jamaaa anze kuyaanda michepuko yake tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa si anakuwaga mbali site huko, michepuko lazima anayo sema kwa style nayoona huyu dada ni kwamba ndiye amefosi kuolewa haraka haraka maana ni control freak. Mwanamke mwenye guts za kuongea hivyo mbele za watu itakuwaje mkiwa mko mtu bee mjengoni? Mbaya zaidi ndio awe na hela zaidi weee.
 
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.

Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....

Kaka kazi unayo

Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Pole sana kwa kuumwa

Mimba hiyo iliyoingia mkesha wa mwaka mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom