Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Jeuri ya pesaNaskia ni mtoto wa mwenye gari za luwinzo
Unyalukolo moja hyoo
Jeuri ya pesaNaskia ni mtoto wa mwenye gari za luwinzo
Unyalukolo moja hyoo
Hapo hamna ndoa mkuu, ni suala la muda tu hapo.Haha atakavyoanza nae ndo watavyoendelea. Kama hana msimamo tangu leo ajue atateseka
Ukiona hivyo amri zilianzia uchumbaniHapo ni hadharani anatoa Amri kama Jeshini huko ndani sijui kutakuwaje, Ingekuwa mimi huyo mwanaume hadi leo hiyo story ya ndoa ingekuwa historia. mwanamke wa aina hiyo atakupanda kichwani aisee
Hakuna ndoa hapo unless mwanaume akubali kuwa mwanamke.
Huyu ni wale watoto waliolelewa kama princess, sampuli ya akina juniour. 😁Niliwaza hivi pia, mara nyingi wanawake ambao anaolewa anahisi yeye ana uwezo zaidi ya mumewe wanakuwa hivyo... hii ndoa mwanaume atateseka sana, mwisho ni ulevi na kuwa na mwanamke nje...mke ataishia kisirani tu.
Mke hana busara kabisa.
Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache keleleView attachment 2485482
Nimetumia lugha tu laini mkuu 😀Mnamuendekeza....
Ana utoto kwani ananyea poti. Huyu dada kimeo tu