Waluguru waleKumbe sio iringa eeh
Kwakuwa gari zao zinaenda huko iringa nkajua ni mnyalu
Sina madhara kwa wapwa zangu, lisikupe shaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahah huo ndio ubaya wa vimodo, huwa vinatakaga kumiliki mwanaume kama mali yake. Atataka ajue upo wapi na nani kila muda, ukichelewa gubu, yani vikorofi sana videm vyembamba.Demu mwenyewe mbaya tu labda Kama jamaa yuko kwenye harakati za kutafuta maisha
Kwa utamu sina shaka ila kikubwa maslahi lazma yatakuwepo.Labda amependa ndani...si mnasemaga wembamba huwa ni watamu ndani??
Pole sana mrembo, nilikuwa sijaisoma hii.Naumwa sana anko
Order! 😄Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache keleleView attachment 2485482
Demu mmbovu una ball nae vipi kama hajiongezi? Hapo kujinunulisha iphone 13 ni kujikosha tu maana wengi wanaogopaga na kuhisi unaweza mkacha anytime sababu umemuacha sana kimvuto.Kumbe ulishawakagua...ila ja weweeeeeeee 🤣🤣🤣
PoleeeSenkyuu
Demu Kama huyo na uhakika kwanza anaweza kumaliza miez 6 bila hata kutongozwa kwahiyo ukijichanganya tegemea kung'ang'aniwa na kuandamwa kila sehem, anaweza hata kulipa watu wakufatilieHahahah huo ndio ubaya wa vimodo, huwa vinatakaga kumiliki mwanaume kama mali yake. Atataka ajue upo wapi na nani kila mda, ukichelewa gubu, yani vikorofi sana videm vyembamba.
Simu na masharti juu.Jamaa hadi kanunuliwa simu ni kwamba hayuko vizuri mfukoni na ndio maana dada anaona kama anaoa yeye. Hapo mwanamke ndo mwenye mpunga.