Hii simu ijae picha zangu tuuu

Hii simu ijae picha zangu tuuu

Demu Kama huyo na uhakika kwanza anaweza kumaliza miez 6 bila hata kutongozwa kwahiyo ukijichanganya tegemea kung'ang'aniwa na kuandamwa kila sehem, anaweza hata kulipa watu wakufatilie
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Anakuwekea ma spy wa kufuatilia nyendo zako hii kali sana
 
Umuache huku unatumia Subaru Forester yake kuvimbia Samaki Samaki🤣 dogo hayo ni maisha yanapiganiwa.
Ajira zimekuwa ngumu sana.

Kuna uwezekano mkubwa ile million 3 aliolipa mahari imetoka kwa demu wake huyo huyo.
Aisee noma sana ndio maana mwanamke anaset condition.!
 
Yani hapo ni kwamba jamaa ni mjumbe ndio na hana jinsi maana mwanamke ana kisu japo hana adabu ila mwamba analazimika kuvumilia tu. Yale yale ya BenPol na Anerlisa ni swala la muda tu.
Noma sana ukosefu wa pesa za kutosha nayo ni aina ya laana. Mtu mzima anadhalilika hapo.
Hii dunia mbaya sana ukikosa pesa unapangwa au unapangiwa cha kufanya.
 
Hahahahahah mwamba kampaka wese, eti hahaha.... Mke wangu mtarajiwa najua unajua matumizi mazuri ya simu kwahio usihofu nitaitumia kwa matumizi sahihi 🤣🤣🤣 yani hamna alichoongeza ila kazunguka mbuyu tu
men will always be men. wanaume hata akiwa bwegeee, ila ni mjanja mjanja hongera kwa me wote dunia hasa wale wenye utashi wa kimazingira.
 
men will always be men. wanaume hata akiwa bwegeee, ila ni mjanja mjanja hongera kwa me wote dunia hasa wale wenye utashi wa kimazingira.
Na hivyo ndivyo ndugu zetu wanapendaga yani uwe mtu wa kabobo 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom