Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,170
- 190,731
Ana ugonjwa wa akili yule sio mentally fit kabisaHahahah, yani mazi inaonesha mpaka inavyojifungua!
Ana ugonjwa wa akili yule sio mentally fit kabisaHahahah, yani mazi inaonesha mpaka inavyojifungua!
Mwanamke koko huyu. Hapo ukute Baba zake na mama zake na wajomba zake wamekaa humo. Hana adabu kabisa"Jamani acheni kelele, ORDER!"
Wanawake wa kileo hao, sifa yao kuu ni ujuaji, mabishano, shari shari na kupenda mizozo yani hata siku ya kwanza tu ya harusi mizozo.Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.
Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....
Kaka kazi unayo
Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Wanawake wa kileo huyo utakuta ana "kadegree" na kajiajira mbuzi hapo huyo mwamba ataisoma namba.Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache keleleView attachment 2485482
Wacuba tulishaidanlodi mudaaMc aliepost kaamua kuifuta hii clip. Na kuna post kafunga comments. Kama yule dada kaona zile comments ama wazazi watakuwa wamemwambia MC azifute post. Naona waja walishamshambulia kule Insta. Hatupoi hatuboi.
Ila hapa kuna wanaume mnacommnt kuwa jamaa ni fala, ukute baina yenu yuko jamaa hapo. Aliyejichekesha akiambiwa ajieleze. Ni vile hatujuani kwa Sura 😝
Unaendeleaje last born wa jf😂Wacuba tulishaidanlodi mudaa
👍👍Nna nafuu kidogoo maana nimeweza kufwata chipthiii za mchana 😋😋
Demu Kama huyo na uhakika kwanza anaweza kumaliza miez 6 bila hata kutongozwa kwahiyo ukijichanganya tegemea kung'ang'aniwa na kuandamwa kila sehem, anaweza hata kulipa watu wakufatilie



Ameamua kuwaamrisha kama watoto wadogo wa kindergartenMwanamke koko huyu. Hapo ukute Baba zake na mama zake na wajomba zake wamekaa humo. Hana adabu kabisa
Mkuu umelewa?Aisee mada nyingine ngumu sana kuchangia nataka nichangie unachotaka wewe ili ujisikie walau vzr maana ni week ya kuchanganyikiwa hii anyway nachotaka unielewe mimi sijaelewa kwanza anavyomwelekeza matumizi ya simu huku anaiangalia mboto ni kweli anamaanisha simu au dudu nijuzwe nina dirty mind kinyana