Hii simu ijae picha zangu tuuu

Hii simu ijae picha zangu tuuu

Jamaa si anakuwaga mbali site huko, michepuko lazima anayo sema kwa style nayoona huyu dada ni kwamba ndiye amefosi kuolewa haraka haraka maana ni control freak. Mwanamke mwenye guts za kuongea hivyo mbele za watu itakuwaje mkiwa mko mtu bee mjengoni? Mbaya zaidi ndio awe na hela zaidi weee.
Hako kabint ni Bab ake Ni tajiri Wenda lkn ,ndio hvyo havinaga maadili na Bab ake ajawai kumchenjiaa au kumfokea utasiki Bab akisa Sarah stoop tokea amezaliwa hajawai kufukewa hvyo lzm jmaa apelekeshwe puta

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.

Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....

Kaka kazi unayo

Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Samahani dada nikuulize????Huyu uchumi wake upoje??????Maana sisi wanaume wenye ndevu ni mwiko kwa mwanamke kuongea vile tena mbele ya hadhara!!!!!Na huo ujasiri kautoa wapi kuongea vile??????tena kwenye stage ya uchumba
 
Aisee mada nyingine ngumu sana kuchangia nataka nichangie unachotaka wewe ili ujisikie walau vzr maana ni week ya kuchanganyikiwa hii anyway nachotaka unielewe mimi sijaelewa kwanza anavyomwelekeza matumizi ya simu huku anaiangalia mboto ni kweli anamaanisha simu au dudu nijuzwe nina dirty mind kinyana
🤣🤣🤣🤣🤣 Dirty mind
 
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.

Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....

Kaka kazi unayo

Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
Hapo hakuna mwanaume kuna mvulana hapo!!!!
 
Ukitaka kujua kuwa wanaume ni wanasiasa kutoka moyoni, jaribu kuangalia na kusikiliza iyo video mara mbili mbili.
Hahahahahah mwamba kampaka wese, eti hahaha.... Mke wangu mtarajiwa najua unajua matumizi mazuri ya simu kwahio usihofu nitaitumia kwa matumizi sahihi 🤣🤣🤣 yani hamna alichoongeza ila kazunguka mbuyu tu
 
Yani nianze kuulizwa maswali mengi kama nipo kituo cha polisi na huyo mwanamke. Na kupewa masharti kama ya bwana jela? Hakika ningemuacha sahiyo hiyo gaderm shit. Jemed.
 
Dada mtata huyo, jamaa anamwambie nimekuelewa anamlazimisha ajielezee

Aah ani dakika za mwanzo tu unaleta mzozo, huyo alitakiwa apate yule jamaa wa "SITAKI SHOWOFF" ndio wangeenda sambamba
Mpuuzi sana huyo mwanamke. Siku magonvi yakitokea ama akikuta pic zingine atakuwa ana refer hiyo clip. What a f.ck
 
Yani nianze kuulizwa maswali mengi kama nipo kituo cha polisi na huyo mwanamke. Na kupewa masharti kama ya bwana jela?
hakika ningemuacha sahiyo hiyo gaderm shit. Jemed.
Umuache huku unatumia Subaru Forester yake kuvimbia Samaki Samaki🤣 dogo hayo ni maisha yanapiganiwa.
Ajira zimekuwa ngumu sana.

Kuna uwezekano mkubwa ile million 3 aliolipa mahari imetoka kwa demu wake huyo huyo.
 
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.

Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....

Kaka kazi unayo

Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
View attachment 2485447
"...man down over"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom