nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 2,087
- 2,844
Kingunge...."Vijana waache uvivu, wajiajiri"
Alisikika mzee mmoja alieajiriwa serikalini tokea mwaka 1965 mpaka sasa hajaacha ajira yake.
Kingunge...."Vijana waache uvivu, wajiajiri"
Alisikika mzee mmoja alieajiriwa serikalini tokea mwaka 1965 mpaka sasa hajaacha ajira yake.
You've problems, I don't know what's with you?Wewe unayejua hicho Kiingereza Fluently unafanya nini zaidi ya kutukana tu hapa?
Umefanya nini haswa kubadilisha taswira hiyo?
Una makelele mengi tu! yap yap all talk, lakini huna tiba. Huna alternative wala suluhisho.
Aione Katibu Mkuu kwenye jalada..!nilikuwa napasikia tu motoni...ila amini nawaambia Motoni ni hapa Tanganyika...!
Wapo wengi sana hawaelewi au wanachukulia poa ule uhalisia wa mtaani. Yan wanachofikiria hakin uhalisia na mtaa ulivyoKwani hawa wahitimu wa chuo mnaowasema huwa wanaishi wapi? Sio hawa tunaishi nao mtaani na wanaona uhalisia wa mambo?
Sifikirii kuna mhitimu anamaliza asijue mtaani kuna nini.
Huwezi kufundisha Kiswahili ikiwa hujui Kingereza mkuu. Ndio maana wakenya wanafanikiwa kufundisha Kiswahili huko nje kuliko watanzania.Kiswahili kinafundishwa sehemu nyingi huko duniani ni swala la kupata exposure tu huyo utamuonea wivu.
Mkuu umemaliza kila kitu. Nili-reply hili jibu hapo juu 👆 👆 👆 👆 👆 👆 kabla sijasoma comment yako hii. Umenifilisi.Duniani wapi na nchi gani?
Kuhusu kufundisha Kiswahili ktk nchi za kigeni ambazo hazitumii Kiswahili kama lugha ya mawasiliano, wa-Tanzania wengi Wana mapungufu makubwa ya kuweza kuwa Walimu wa Kiswahili huko nje, kwa sababu Wana tatizo na uelewa wa kutosha (fluency) wa kuongea Lugha ya kufundishia, yaani Kiingereza (Most of Tanzanians are not fluent in Speaking and Writing in English language). Hiki ni kikwazo kikubwa sana kwa wa-Tanzania kupata ajira za Ualimu wa kufundisha Kiswahili huko nje ya nchi, that's why hata Serikali ya Afrika ya Kusini imetoa ajira za Walimu wa kufundisha Kiswahili nchini humo kwa walimu kutoka nchini Kenya, wala siyo kwa wa-Tanzania.
acha tuuYeah! Wewe fikiria familia imewekeza millions of money kwa ajili yako halafu unarudi nyumbani na joho tu bila ajira wala pesa. Inauma sana kwa kweli.
Hii picha ni ya ukweli kabisa. Ukiangalia wale watoto wawili wa kulia na kushoto ni damu moja na huyu bwana. Sura zao na pua zao ni definitely watu wa uzao mmoja. So I believe hii picha ilipigwa na huyu kamanda mwenyewe akiwa amewa position hawa ndugu zake kwa kumbukumbu yake na wala siyo picha ya uongo. Wana resemble kabisa kabisa as relativesPicha ni Feki na Imechongwa kuvutia hisia za watu.
Picha ikishakuwa feki, basi na maudhui yake ni feki. This is a typical Misinformation. Ni taarifa ya uongo na ni potofu. Maudhui haya yamelenga kudhalilisha na kunyanyasa.
Tafakari
Kama kweli mmeleta picha hiyo kwa nia nzuri, kwanini msiweke Jina, Kijiji, au shule aliye hitimu na kupata shahada gani ili aweze kusaidiwa kupata ajira? Tafakari
Kwanini wengi wenu mnakandia tu?
Family high expectationsHii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka.View attachment 2843100
Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata haiwezi kumpa uwezo wa kurudisha alichokitoa ama kubadilisha hayo maisha ya nyumbani kwao. Kibaya zaidi familia zetu pia zinaamini kuwa ukishapata degree basi wewe ndio tegemeo la ukoo , ndio maana vijana wengi huwa wanakimbia nyumbani.
Ziba sikio fungua puambona sioni ikiongea ...?
funga figoZiba sikio fungua pua
kuanzia 30 dec ntaarud kwenye lugha yngu pndwa nlkua najipa practical mtaaniSiku hizi umeacha comment za kiingereza 🤣
Serikali inapaswa kulaumiwa tena sana kwa sababu ndiyo inatunga mitaala inayosababisha wahitimu wasijiajirituache Kulaum sana serikali Maisha ni sasa ndio tume loose muda chuo
Mm pia ni muhanga kabisa 3 years chuo na hio ya nyuma Alevel 2y lkn kwenye maisha ni Kuchagua sasa sis wengi tulipenda shule na kuwa na hope ya ajira
Hatukuwekeza kwenye ujuzi au vipaji hapa kuna baadh wanaweza laum wazaz walikua kikwazo sawa mm pia nakubali wazaz walikua hawataki kusikia unaenda uwanjan/studio lkn all this yamesha pita we are in the late 20s
Muda ulio potea huwa hauwez rudi sasa machaguo ni mawili Kufa maskini kabsa Au Ufe katika Mapambano au uache Legacy ya Utajiri
Ndoto Una design unaishi umo ..Unatakiwa Kujitoa Muhanga na Kumuomba Mungu
Pombe ,Lawama ,bangi na utapeli au kuwa shoga havina maana na huwez badiri maisha kabsa