Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Pole sana kijana kwa changamoto hiyo kafanye vipimo upate na Dawa
 
Chuki yote hii ya nini hata hatujuani?
Jamiiforums ina watu wema na wabaya.
Mpaka sasa wadau wawili wamenichangia wote jumla 35k

Ningekaa kimya na maradhi , ningepata wapi huo wema?

Au ulitaka usikie TANZIA alafu uandike R.I.P daah kwanini hakusema?

Mungu ni mwema, nitapona tu.
Kwani mkuu ulikuwa umeomba kuchangiwa? Mimi hoja yangu imejikita kwenye kuonesha maungo yako ya siri! Hata kama unaumwa huwezi kuonesha hadharani kiasi hicho. Hiyo ilitakiwa ni wewe na mkeo au Daktari wako! Umevuka misingi ya uafrika wetu!
 
Acha ujinga asee, bila shaka wewe ni jitu kutoka ile Kanda ,Kuna shida gani mtu kuonesha tatizo lake? Mtu afe kisa anakuogopa wew?
NB ya sugu inakuhusu
Ona hii takataka nayo! Hivi unaona huo ni utu kuonesha dhakari hadharani? Ndiyo maana ikaitwa sehemu za siri! Kwani lengo lake kuonesha ilikuwa apate mchango wa fedha? Basi kama ni hivyo vijana wa Tanzania mna kazi aisee mmefika mahali mnavua utu wenu shauri ya pesa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom