Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Futa hii taka taka yako humu , nenda hospital gadeim 🚮
Kuna watu vichwa panzi! Utaoneshaje sehemu za siri humu ndani utafikri Sisi ni madaktari? Anafikri hivyo ndivyo atawatamanisha masista hapa ndani? Jitu lenyewe limeshaambukizwa kisonono nani atalitamani? Hovyo kabisa! Na mods nao utafikri wanafurahia uchafu huu!
 
Afadhari ukamuonyeshe tu daktari huku mtandaoni hakuna msaada utapata🕊🕊🕊ila una moyo mwanangu na picha umetuma😭😭😭
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom