Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Acha ujinga asee, bila shaka wewe ni jitu kutoka ile Kanda ,Kuna shida gani mtu kuonesha tatizo lake? Mtu afe kisa anakuogopa wew?
NB ya sugu inakuhusu
Kuna watu vichwa panzi! Utaoneshaje sehemu za siri humu ndani utafikri Sisi ni madaktari? Anafikri hivyo ndivyo atawatamanisha masista hapa ndani? Jitu lenyewe limeshaambukizwa kisonono nani atalitamani? Hovyo kabisa! Na mods nao utafikri wanafurahia uchafu huu!
 
Nilikuonaga selfika nikapita kimyaaaaa.
Limkaka flaniii hiviii very tall,,, white,, bodyya kubebwaa na mshangazi!!!!!!!

Na off course kwa mgongo ule yaliyomo yamo. We subiri mdhamini.
😂 Nataka mdhamini uwe ww sasa
 
Kuna watu vichwa panzi! Utaoneshaje sehemu za siri humu ndani utafikri Sisi ni madaktari? Anafikri hivyo ndivyo atawatamanisha masista hapa ndani? Jitu lenyewe limeshaambukizwa kisonono nani atalitamani? Hovyo kabisa! Na mods nao utafikri wanafurahia uchafu huu!
Chuki yote hii ya nini hata hatujuani?
Jamiiforums ina watu wema na wabaya.
Mpaka sasa wadau wawili wamenichangia wote jumla 35k

Ningekaa kimya na maradhi , ningepata wapi huo wema?

Au ulitaka usikie TANZIA alafu uandike R.I.P daah kwanini hakusema?

Mungu ni mwema, nitapona tu.
 
Afadhari ukamuonyeshe tu daktari huku mtandaoni hakuna msaada utapata🕊🕊🕊ila una moyo mwanangu na picha umetuma😭😭😭
Msaada nimepata Mkuu, japo lengo bado 15k nimalize changamoto.
Huku ukiwa na tatizo la kweli na una ushahidi usife nalo mwenyewe.
 
Chuki yote hii ya nini hata hatujuani?
Jamiiforums ina watu wema na wabaya.
Mpaka sasa wadau wawili wamenichangia wote jumla 35k

Ningekaa kimya na maradhi , ningepata wapi huo wema?

Au ulitaka usikie TANZIA alafu uandike R.I.P daah kwanini hakusema?

Mungu ni mwema, nitapona tu.
Endelea kuweka update ya namba na mchango,usitaogope haya majitu kutoka Ile Kanda ni mashamba to the core
 
Ah yule marry Hapana, yule Lazima awe na combination na magonjwa yote ya zinaa, na hv anakaa Sinza Ndo Kabisa hadi pangusa anayo
Ila mbaga umejuaje anakaa sinza lakini😁 dada wa watu anajisitiri mpaka kaanzisha uzi unakuja kumpondea huku sio sawa🤭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom