Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.

Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa sana kila napoangalia ziara za Mheshimiwa Rais na namna mambo yanavyopangwa na kupangika kwa weledi na umakini wa hali ya juu sana . Ni Taifa ambalo tunaonyesha umakini wetu kama Taifa Taifa.

Kiukweli Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimekamilika ,vinajua nini majukumu na kazi yake.

Leo Katika Uzinduzi wa Makao Makuu ya Jeshi letu la wananchi Mkoani Dodoma kumechukuliwa picha ya Siku ambayo imeteka Hisia za Watu Duniani Kwote. Ni picha ambayo imewakosha watu ,ni picha ambayo imeleta tabasamu kwa watu ,ni picha ambayo Imewafanya Watanzania kuendelea kujivunia vyombo vyao vya ulinzi na usalama na Rais wetu Mpendwa.

Watanzania Tembeeni vifua mbele, Tembeeni kwa kuringa , Tembeeni bila hofu. Nchi ni Salama , Watanzania mpo salama katika mikono salama ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka ,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia.

Laleni Hata bila kuweka komeo kwenye milango yenu maana Ulinzi ni wa kutosha na hakuna wa kuwasumbueni wala kuwatisheni katika uongozi huu wa Rais Samia.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260224-162611_1.jpg
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548108
Wewe endelea kumchoresha tu mtu kakongoroka hivyo kama kibwengo.
 
Screenshot_20260224-131356~2.png
 
_101964973_gettyimages-951728864.jpg

Hio ndio maana ya ulinzi mkali, sio huyo Samia walinzi wake wana vitambi, wengine hapo wana minyoo na safura,yaani kinacho wabeba ni vyeo tu... huyo mwingine ana sijida itakuwa yupo kwenye swaumu hapo anawaza futari jioni ifike haraka...

Hapo hakuna mlinzi hata mmoja anaweza pambana na Mandonga akatoka salama... sifa tu za kijinga..

Hao wenye suti wamebeba mabegi utasema wana safiri, umecheki ulinzi wa Kiduku, unaona walinzi walivyo wepesi, wana afya na miili ya mazoezi...
 
Endelea kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
 
Labda imeteka hisia za watu wa kijijini kwenu stupid wahed!

Kichwa kimeoza hicho.
 
Nasikia ndugu Mtakatifu Lucas wa Mwashambwa siku hizi wahuni wa huko unapopamwagia sifa wamekufanya km Fenesi ni mwendo wa kukumwagia na kukupaka tu mafuta kabla hawajaaanza kukula, hivi ni ya kweli hayo?
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja.jitajidi kupata matibabu Mirembe
 
Back
Top Bottom