Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.

Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa sana kila napoangalia ziara za Mheshimiwa Rais na namna mambo yanavyopangwa na kupangika kwa weledi na umakini wa hali ya juu sana . Ni Taifa ambalo tunaonyesha umakini wetu kama Taifa Taifa.

Kiukweli Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimekamilika ,vinajua nini majukumu na kazi yake.

Leo Katika Uzinduzi wa Makao Makuu ya Jeshi letu la wananchi Mkoani Dodoma kumechukuliwa picha ya Siku ambayo imeteka Hisia za Watu Duniani Kwote. Ni picha ambayo imewakosha watu ,ni picha ambayo imeleta tabasamu kwa watu ,ni picha ambayo Imewafanya Watanzania kuendelea kujivunia vyombo vyao vya ulinzi na usalama na Rais wetu Mpendwa.

Watanzania Tembeeni vifua mbele, Tembeeni kwa kuringa , Tembeeni bila hofu. Nchi ni Salama , Watanzania mpo salama katika mikono salama ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka ,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia.

Laleni Hata bila kuweka komeo kwenye milango yenu maana Ulinzi ni wa kutosha na hakuna wa kuwasumbueni wala kuwatisheni katika uongozi huu wa Rais Samia.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548108
Muda mwingine huwa nakuhurumia ila sema basi tu.
 
Mbona amekonda sana?
 
Mwamba unanifurahisha sana unavyowahenyesha haters wa Samia a.k,a nyumbu wa lissu, kitima na heche.
 
Duniani kote kwenye makalio yako. Wewe utakufa unalamba makalio ya huyo kitambi.
 
Masikini unakufa huku unasifia sifia wakina abduli hawakujui huwezi kulima
 
Kwa style hii na wewe unajiita baba? Ni vile Jf. hatufahamiani, ila wewe hukustahili hata kupumua kabisa!
Kama una Hasira Sana Basi Kunywa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Back
Top Bottom