Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 117
- 387
Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko.
Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini Kungekuwa na kujitoa sadaka zaidi kama wasingefanikisha jambo hilo kwa siku iliyopangwa.