hakuogopa halaf akalipeleka wapi taifa lake? hali waliyonayo sasa ni result ya maamuzi yake bila kubalance mizani.Mugabe pia hakuogopa vigingi vya mabeberu.
Tusimsahau Mugabe.
sidhani kama hizo mali tunawapa bure. ni sisi wenyewe ndio tunawaruhusu. Tena tunawaita wawekezaji. mnaandika hapa utadhani wanatuibia tukiwa macho.Miafrica Kweli akili tunazipindisha makusudi Bora liende, wewe unaleta uke.nge kuwa hatuwezi endelea bila wao. Kama wao wanataka Mali kwetu tunatakiwa kwenda aawia sio kuruhusu wizi kwenye shamba la Bibi kisa tunataka watuendeleze
manabii hawakuua direct kama vile walipenda.Siyo Musa tu, hata Nabii Eliya aliuwa manabii wa uwongo wa Baali. Wewe kama ni msomaji wa Biblia na kuielewa unajuwa vema kwa nini hao manabii waliuwa. Usimsahau na Daudi, alimwua Goliath. Na Mungu alikuwa upande wao siku zote.
Mhuni tu wewe.Soma sofa za manabii, au watakatifu, Kuna sehemu waliokuwa wanakwamisha hata ufikia kuua. Goriati aliuliwa Na Nani Na Kwa sababu Gani? Au
Nakubaliana na wewe 100% marehemu siyo nabii. Ndiyo maana nikasema manabii waliouwa Mungu alikuwa upande wao. Sitofautiani na wewe kwa hilomanabii hawakuua direct kama vile walipenda.
wali ask for God directives.
God alipowapa go ,tena na masharti juu.. akiwabariki na nguvu fulani ndio wakaweza kutekeleza hilo.
dont overrate marehemu na kumbandika vyeo visivyo stahili.
kweli alifanya kazi nzuri lakin sio nabii.
Mugabe pia hakuogopa vigingi vya mabeberu.
Tusimsahau Mugabe.
Nakubaliana na ww!Wana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati....
Magu hakuchukia wazungu bali upuuzi wa wazungu kuwafanya waafrica majuha!Mjinga aliye waaminisha kwamba kiongozi anaye chukia wazungu ndiye shujaa wa africa aliwatia ujinga wa kiwango cha juu sana kwa sababu hakuna africa inayo weza ku survive bila mzungu hakuna hivyo mawazo ya aina hiyo ni kujilisha upepo tu.
Ukweli ni kwamba, John Pombe Joseph Magufuli alikuwa NABII. Alipambana vikali sana dhidi ya Majizi, Vibaraka wa Mabeberu na Wazembe.We jamaa,kama ni mahaba yamezidi sana,hizi lugha za kuita watu mabeberu,zilikuwa zinamaana kwenye vuguvugu la ukombozi miaka ya 60! Sio leo hii karne ya 21...
Watu wanalipa na mengi, wanalia na manyanyaso ya viongozi sehemu za Kazi, Sasa hivi unanijua Mimi Nani umekwisha, kupigwa makofi Na mwajiri au Tajiri vimekwisha, vijana wetu wameacha kuwa mazezeta Kwa unga. Nabii Magufuri kafanya mambo mengi Mwinyi ndiye anaweza kuyafafanuaUkweli ni kwamba, John Pombe Joseph Magufuli alikuwa NABII. Alipambana vikali sana dhidi ya Majizi, Vibaraka wa Mabeberu na Wazembe.
Kumbuka, miaka yote tulikuwa tukilia kuibiwa mali zetu na Mabeberu, lakini siku tu alipotangaza kusitisha usafirishaji wa Makinikia...
Nabii Eliya aliua waliokuwa wanaabudu mungu wao Baali soma