Hayati Magufuli alitoa sadaka Maisha yake kwa ajili ya ukombozi wa Nchi hii, mimi ni nani?

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Kila Mtanzania alimsikia Hayati Magufuli katika hotuba zake nyingi akisema "nimetoa sadaka Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge" lakini pia alieleza kilichowapata Marais wa Afrika waliosimama imara kutetea Rasilimali za Nchi zao.

Sasa basi, mimi na wewe kama Watanzania, tunaanzaje kukaa nyuma katika mapambano haya ya kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa watu wanaonuka harufu kali ya UFISADI na matumizi mabaya ya mali za umma?
 
Hawa watu wa maombi siwaamini, wangeungana na kufanya maombi wangejua kilichomsibu JPM, Mimi siamini Ni Mungu kamchukuwa. Watanzania tulio wengi tunalia.
 
Alishapewa sumu lakini Mungu alikuwa hajaamua akamponya. Hivyo ukiona ameondoka jua Mungu aliridhia
 
Hawa watu wa maombi siwaamini, wangeungana na kufanya maombi wangejua kilichomsibu JPM, Mimi siamini Ni Mungu kamchukuwa. Watanzania tulio wengi tunalia.
Tunalia sana sana.

Ila naamini Mungu atatenda katikati ya mapambano tunayoendea nayo
 
Kila Mtanzania alimsikia Hayati Magufuli katika hotuba zake nyingi akisema "nimetoa sadaka Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania wanyonge" lakini pia alieleza kilichowapata Marais wa Afrika waliosimama imara kutetea Rasilimali za Nchi zao.

Sasa basi, mimi na wewe kama Watanzania, tunaanzaje kukaa nyuma katika mapambano haya ya kuikomboa Nchi yetu kutoka mikononi mwa watu wanaonuka harufu kali ya UFISADI na matumizi mabaya ya mali za umma?
Tukifika 10 tunaliamsha
 
Kuna watu huwa nikiwaagalia tu, najua kabisa kashakula hela za wawekezaji.

Mtu kama Kikwete, January na Mwigulu.

Nikawatazama tu naona wanaogelea pesa zetu. Naomba watupishe wametosha kula pesa zetu.
 
Back
Top Bottom