Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

hata baada ya kufariki unadhani wataendelea kumwabudu ili wapate kitu gani???

badilika wewe taahira.
Dada wala huna haja ya kupaniki. Sasa ili muishi inabidi mtafute na nabii mwingine. Huyu abaki kuwa nabii au mtakatifu aliyekuwepo.au mungu amerudi enzini. Sasa nyinyi wafuasi wake mtuambie ibada zake mnafanyia wapi
 
tuliza kiuno antie komeo.

wenzako hatutegemei hisani ndipo tuishi,utatuona tena hapa hapa,tukiendelea na harakati za kusifia mazuri ya utawala mpya.

huku ukiendelea kutaabika na stroke yako.
 
tuliza kiuno antie komeo.

wenzako hatutegemei hisani ndipo tuishi,utatuona tena hapa hapa,tukiendelea na harakati za kusifia mazuri ya utawala mpya.

huku ukiendelea kutaabika na stroke yako.
Wenye stroke ambao walitenguliwa kiuniokulinusuru taifa ambalo lilikuwa shamba la Bibi hawawezi kuelewa
 
Wana Jf
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati....
Na wewe unaabudu bangi kama Afande Sele ? hivi nabii anawezaje kuwa kama alivyokuwa Marehemu ? Endeleeni kumtukana Mungu malipo yenu mtayapata
 
Huu ni upumbavu ambao wamekuwa nao waafrika wengi sana. Na unafiki mkubwa. Wanasema wanawachukia wazungu huku wakitumia asilimia 80 ya bidhaa zao. Sijaona mimi kiongozi ambaye akiumwa sababu ya chuki zake kwa wazungu anaamua akalazwe kwa mganga wa kienyeji bagamoyo au tanga...
Tunaposema wazungu sio wote wanyonyaji, uelewa bus ukiwakumbatia nibsawa Na kuwa bumunda lisilokuwa Na chembe ya akili, waache kutunyonya uuone kama hatutaenxelea. Usimchukie Nabii Magufuri
 
Miafrica Kweli akili tunazipindisha makusudi Bora liende, wewe unaleta uke.nge kuwa hatuwezi endelea bila wao. Kama wao wanataka Mali kwetu tunatakiwa kwenda aawia sio kuruhusu wizi kwenye shamba la Bibi kisa tunataka watuendeleze
 
tuliza kiuno antie komeo.

wenzako hatutegemei hisani ndipo tuishi,utatuona tena hapa hapa,tukiendelea na harakati za kusifia mazuri ya utawala mpya.

huku ukiendelea kutaabika na stroke yako.
Sasa praise and worship tuhamishie kwa Rais mpya. Maana hali yenu inakuwa ngumu. Mnafiki hana dini,hana jinsia,hana loyalty, sasa andaeni tena viuno vyenu... Tuone ukatikaji wenu... Najua kwa mwanamke mwenzenu hamtakatika sana. Ila sisi yetu macho...😂😂😂😂😂
 
Sasa praise and worship tuhamishie kwa Rais mpya. Maana hali yenu inakuwa ngumu. Mnafiki hana dini,hana jinsia,hana loyalty, sasa andaeni tena viuno vyenu... Tuone ukatikaji wenu... Najua kwa mwanamke mwenzenu hamtakatika sana. Ila sisi yetu macho...
hilo na unafiki unalijua wewe.

kama magu uliponda bado kwa samia nako unaponda,unataka mimba ndio ukitulize!!!!

sisi tunaangalia kazi mama,hatuna muda na ujinga wenu sijui demokrasia ambayo hata hapo kwenu ufipa imewashinda kuisimamia.
mama akifanya kazi tutasifu tu,bila kujali wewe kuku mmoja unasemaje.
 
Tulia mama....tulia. haya mambo hayataki hasira. Ni kuhamisha tu unafiki. Hamishia sehemu nyingine ambayo itakusaidia kupata vijicent... Nyie wanawake wa hivi huwa hata waume hampati.maana hamuaminiki kamwe. .... Just cool down sweetie. Calm down 😁😁😁😁
 
Tulia mama....tulia. haya mambo hayataki hasira. Ni kuhamisha tu unafiki. Hamishia sehemu nyingine ambayo itakusaidia kupata vijicent... Nyie wanawake wa hivi huwa hata waume hampati.maana hamuaminiki kamwe. .... Just cool down sweetie. Calm down
ita vyovyote,maana umeshaanza kuona hakuna tumaini hata kwenye kile kinachokufanya ufurahie kifo cha jpm.

toka upate huyo mume na anakuacha unazurula kwenye mikutano na mwenyekiti,kuna usalama kweli kwenye hiyo ndoa!!!

sisi tutaendelea na harakati za kuijenga tanzania,nyinyi makahaba wa kisiasa sijui mtaeleza nini wananchi maelfu wenye hasira ya nchi yao kama wale walioko taifa!!!!!
 
Just calm down... Sawa... Usipanic calm down. Haya mambo huwa hayataki hasira. Calm down. Kunywa maji baridi au juice.. au maziwa. Then njoo hapa nikuelekeze mambo ukiwa umetulia na hiyo hali imekutoka.

Usipaniki. Ni mbaya hata kiafya...dont ever panic. Its bad. Then nakutuliza unashusha moyo. Tuendelee kumuunga mkono Mama Samia. Safari hii tuache Unafiki na kujipendekeza. Tuijenge nchi yetu Tanzania.
 
unaacha kumsihi yule dalali wa wenu aliyekimbilia kwa wanunuzi kule ubelgiji aache mapovu unakuja kujitia kiherehere kwangu!!!

sisi tunaaga mwili kwa sasa,tukimaliza kuzika tunarudi kuendelea na kazi ya ujenzi wa taifa,mafisi wazee wa mizoga msioleweka hata mko upande gani,endeleeni na msimamo wenu wa kubwabwaja bila kufanya kazi.
 
Sawa ila ulipokopi uzi wako ungeomba mtu mwingine akufanyie paragraph setting ndipo upachike hapa...
Unaijuanbiblia wewe? Mussa aliua wangapi? Aliua maelfu kwa maelfu na bado mnamuita nabii
 
Unaijuanbiblia wewe? Mussa aliua wangapi? Aliua maelfu kwa maelfu na bado mnamuita nabii
Siyo Musa tu, hata Nabii Eliya aliuwa manabii wa uwongo wa Baali. Wewe kama ni msomaji wa Biblia na kuielewa unajuwa vema kwa nini hao manabii waliuwa. Usimsahau na Daudi, alimwua Goliath. Na Mungu alikuwa upande wao siku zote.
 
We jamaa,kama ni mahaba yamezidi sana,hizi lugha za kuita watu mabeberu,zilikuwa zinamaana kwenye vuguvugu la ukombozi miaka ya 60! Sio leo hii karne ya 21...
Kwa akili hizi nahisi hata mimi ningekua rais ningeua
 
Kwa akili hizi nahisi hata mimi ningekua rais ningeua
Muuaji kafia madarakani, Mungu kaona hii ilikuwa too Much.

Tazama Marais wengine kama Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Nyerere walidunda miaka mingi baada hata ya kustaafu
 
Back
Top Bottom