Hayati Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, hakuogopa vigingi vya Mabeberu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,854
2,000
Kwa akili hizi nahisi hata mimi ningekua rais ningeua
Muuaji kafia madarakani, Mungu kaona hii ilikuwa too Much.

Tazama Marais wengine kama Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Nyerere walidunda miaka mingi baada hata ya kustaafu
 

kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,630
2,000
Nilazima asingeleweka haraka mana alibeba mambo mengi wakati mmoja hizo nishughuli za muhitimu mafunzo jeshin .....awe na pumziko jema
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,233
2,000
Wapi Ben Saanane? Wapi Azory, familia zenu zinawalilia sana..maana hadi leo hamjulikani mlipo!!

Pole Mr Lissu mtu kakufanya hivyo ulivyo sasa ili mapenzi yake yatimie!!
 

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,701
2,000
Media were forced to praise him no matter what or else you get banned.
I beg to differ
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,921
2,000
Miafrica Kweli akili tunazipindisha makusudi Bora liende, wewe unaleta uke.nge kuwa hatuwezi endelea bila wao. Kama wao wanataka Mali kwetu tunatakiwa kwenda aawia sio kuruhusu wizi kwenye shamba la Bibi kisa tunataka watuendeleze
sidhani kama hizo mali tunawapa bure. ni sisi wenyewe ndio tunawaruhusu. Tena tunawaita wawekezaji. mnaandika hapa utadhani wanatuibia tukiwa macho.

akili ya bora liende ipo mpaka kwa viongozi wetu. and yes maendeleo ya sasa ya mtu mweusi yanahitaji technology ya mtu mweupe.

85% ya bidhaa tunazotumia zinatoka kwa mtu mweupe. elimu, vifaa vya ulinzi.. kijeshi.. mitaala ya kiusalama..

sisemi kuwa tusipige step. japokuwa tumechelewa ila bado tunaweza. ila ji kujidanganya kuwa completely 100% tunaweza kwenda mbele bila kutumia vitu vya mtu mweupe.
 

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,498
2,000
Ila huyu mzee wetu alikuwa jasiri sana,hakuogopa chochote,alifanya kile anachokiamua hata kama UNESCO,US na IMF walikuwa wanatoa vitisho na mikwala,yeye hakujali,nahisi huyu mzee wetu alikuwa na spirit ya kiajemi
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,921
2,000
Siyo Musa tu, hata Nabii Eliya aliuwa manabii wa uwongo wa Baali. Wewe kama ni msomaji wa Biblia na kuielewa unajuwa vema kwa nini hao manabii waliuwa. Usimsahau na Daudi, alimwua Goliath. Na Mungu alikuwa upande wao siku zote.
manabii hawakuua direct kama vile walipenda.
wali ask for God directives.
God alipowapa go ,tena na masharti juu.. akiwabariki na nguvu fulani ndio wakaweza kutekeleza hilo.

dont overrate marehemu na kumbandika vyeo visivyo stahili.
kweli alifanya kazi nzuri lakin sio nabii.
 

mwandende

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
6,723
2,000
Hakika kifo cha rais Magufuli kimewaumbuwa traitors kweupe..

Na hata sijuwi wanateseka wakiwa wapi..

Hawaonekani mitandaoni kwa sasa.
 

Danny Jully

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,418
2,000
manabii hawakuua direct kama vile walipenda.
wali ask for God directives.
God alipowapa go ,tena na masharti juu.. akiwabariki na nguvu fulani ndio wakaweza kutekeleza hilo.

dont overrate marehemu na kumbandika vyeo visivyo stahili.
kweli alifanya kazi nzuri lakin sio nabii.
Nakubaliana na wewe 100% marehemu siyo nabii. Ndiyo maana nikasema manabii waliouwa Mungu alikuwa upande wao. Sitofautiani na wewe kwa hilo
 

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,715
2,000
Mjinga aliye waaminisha kwamba kiongozi anaye chukia wazungu ndiye shujaa wa africa aliwatia ujinga wa kiwango cha juu sana kwa sababu hakuna africa inayo weza ku survive bila mzungu hakuna hivyo mawazo ya aina hiyo ni kujilisha upepo tu.
Magu hakuchukia wazungu bali upuuzi wa wazungu kuwafanya waafrica majuha!
 

Sirdirashy

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
2,488
2,000
Sijui hata niseme nn wallah ila mazuri anayo na mabaya pia anayo amepoteza sifa ya Kuwa Nabii
 

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,643
2,000
We jamaa,kama ni mahaba yamezidi sana,hizi lugha za kuita watu mabeberu,zilikuwa zinamaana kwenye vuguvugu la ukombozi miaka ya 60! Sio leo hii karne ya 21...
Ukweli ni kwamba, John Pombe Joseph Magufuli alikuwa NABII. Alipambana vikali sana dhidi ya Majizi, Vibaraka wa Mabeberu na Wazembe.

Kumbuka, miaka yote tulikuwa tukilia kuibiwa mali zetu na Mabeberu, lakini siku tu alipotangaza kusitisha usafirishaji wa Makinikia, CHAUROPOKAJI/DOMOKUBWA alikuja juu kututisha eti tutashtakiwa MIGA ,akiwa na maana kwamba tuwaachie wazungu waendelee kuchukua madini yetu.

Huo si upumbavu kabisa kuwahi kutokea? Alikuwa akinunua ndege, watu wanapinga, akifanya chochote cha maendeleo ya Taifa, mnapinga. Hata sasa ukimwambia mtu mwenye akili inayofanana na ile ya CHAUROPOKAJI ataje hata mambo machache tu ya maendeleo ya Taifa aliyoyafanya JPM, atakwambia hakuna kabisa.

Of course, we shall never forget Hon. Dr.John Pombe Joseph Magufuli.

May he rest in peace. MWAMBA WA AFRIKA.
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,928
2,000
Ukweli ni kwamba, John Pombe Joseph Magufuli alikuwa NABII. Alipambana vikali sana dhidi ya Majizi, Vibaraka wa Mabeberu na Wazembe.
Kumbuka, miaka yote tulikuwa tukilia kuibiwa mali zetu na Mabeberu, lakini siku tu alipotangaza kusitisha usafirishaji wa Makinikia...
Watu wanalipa na mengi, wanalia na manyanyaso ya viongozi sehemu za Kazi, Sasa hivi unanijua Mimi Nani umekwisha, kupigwa makofi Na mwajiri au Tajiri vimekwisha, vijana wetu wameacha kuwa mazezeta Kwa unga. Nabii Magufuri kafanya mambo mengi Mwinyi ndiye anaweza kuyafafanua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom