ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,444
- 119,038
kwa sentensi hii nakupa POINT...ila mkuu kuna baaadhi wako serious..mayb mimi na wewe ndio tunachukulia poa
Inawezekana! Ila kwa thread kama hii.....kama yuko anayekuwa serious basi huyo ni ''desperado'' na anahitaji counseling manake anakoenda ni kubaya. we are having fun here, sidhani kuna lingine! TheDealer unasemaje bwana!
Last edited by a moderator: