tatizo lako nawewe unapoteapotea sana ndiyo maana wenzio wanajichukulia kiulaini...
Hivi hujui wewe ndiyo chanzo cha ndoa ya Heaven on earth na UNDENIABLE kuvunjika? Fanya kweli bana utapoteza mke hivihivi ohoo.....!!!!!!
huyo TheDealer anabahati sana nimeolewa, ile kasi ya kuwakagua imepungua la sivyo angekuwa anachechemea sasa.... Ngoja niombe vifaa kwa dismynder1 nitarudi baadae
ati unasemaje?????? Hivi hujui kuwa Heaven on earth ni wifi yangu......? Hebu muulize tena kwa maranyingine, hana mahusiano na kaka wa mtu humu??? Lasivyo nitairewind ile movie ya kipindi kilee tuliyocheza mimi, wewe, Passion Lady aka dismynder1 na heaven on earth
Kumbeee! Heaven on earth yaani umeanza mambo yako kuniweka foleni kumbe unamilikiwa huko na figganigga afu unataka nikosane na jamaa... afu Passion Lady = dismynder1?
jamani jamani Eli79 hata sio hivyo,
yes Passion Lady = dismynder1 these days,
kuna vijimambo vilimkutia!!!!!!!!
bora wiiiiii umenisaidia kumuelewesha
my friend Eli79 maana kule kwao
net mpaka apande kwny mti kujua mambo
yaliyomo yote ni ngumu sana!!
hahahaa..umepatia ila kwetu unapajuaaa?
sema basi nitumie lipi kati ya hayo PL au dismynder1
hata nikipotea vipi siwezi potea moyoni mwa Heaven on earth. mimi naye tumetoka mbali. hata hivyo nimeamua kuwa karibu sana baada ya kuona watu kibao wanamumezea mate na kumuangalia kwa macho mia mia. mia
usihofu mpenzi na shaka ondoa. mimi ntaishi na wewe katika shida na raha hadi second ya mwisho ya maisha yangu. hadi kifo kitutenganishe. miaunapotea sana hadi unanipa mashaka
unapotea sana hadi unanipa mashaka
khaa! mamito, yani umenipa kibuti hata sijakupeleka homeee?
mbona basi ushaanza kumwita figganigga babe tena? jamani mbona unaumiza mtima wangu tena....sijakupa kibuti babe,safari ya kwenda home iko pale pale
mbona basi ushaanza kumwita figganigga babe tena? jamani mbona unaumiza mtima wangu tena....
yani huyo wifi yetu sijamsoma kabisaa
Heaven on earth kuna kikao cha familia
twahitaji ufafanuzi kuhusu Eli79 tafadhali!!
cc Lady doctor na figganigga!!
Heaven on earth jibu kwanza hizi tuhuma...tena kwa ufasaha... kabla kaka yangu @O'REAL hajaja...ujue nini pacha? Huyu wifi yetu anataka kushindana na best yangu Mamndenyi kupewapewa talaka, nilisha mwambia kaka yetu figganigga hajuiagi kuandika talaka wala kuacha mtu lakini haelewi ngoja sasa aone kitakacho mkuta kwa Eli79
Heaven on earth jibu kwanza hizi tuhuma...tena kwa ufasaha... kabla kaka yangu @O'REAL hajaja...
ujue nini pacha? Huyu wifi yetu anataka kushindana na best yangu Mamndenyi kupewapewa talaka, nilisha mwambia kaka yetu figganigga hajuiagi kuandika talaka wala kuacha mtu lakini haelewi ngoja sasa aone kitakacho mkuta kwa Eli79