Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

sista hivi una habari kwamba Eli79 huko mbioni kufunga pingu na Heaven on earth? una habari hizo lakini?
Naomba utoe barka tafadhali.

ati unasemaje?????? Hivi hujui kuwa Heaven on earth ni wifi yangu......? Hebu muulize tena kwa maranyingine, hana mahusiano na kaka wa mtu humu??? Lasivyo nitairewind ile movie ya kipindi kilee tuliyocheza mimi, wewe, Passion Lady aka dismynder1 na heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom