Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

ujue nini pacha? Huyu wifi yetu anataka kushindana na best yangu Mamndenyi kupewapewa talaka, nilisha mwambia kaka yetu figganigga hajuiagi kuandika talaka wala kuacha mtu lakini haelewi ngoja sasa aone kitakacho mkuta kwa Eli79

huyo Eli79 ajisalimishe mwenyewe
umeona kuna mgeni wa kumkagua?nishaandaa
beleshi,sime na koleo vinamtosha!!
 
Last edited by a moderator:

yupo busy kusaka mkwanja
vumilia siku akija sio yule ujue
ni papaaa figganigga aka pedeshee kinda mutoto ya njiwa!!
 
Last edited by a moderator:
my wi my wii ile siku si
nilikuelezea kwa ufasaha sababu ya haya yote!!!!!!

kaka yako nae simsomi anapotea muno
na kuniacha na upweke wa hali ya juu

hebu ngojnimuite tumkalie kikao kwanza.

Weee figganigga weee......... Hebu ukuje huku, hivi mrembo kama huyu ukimkosa utampata wapi dunia hii???? Au unataka utuletee ma wifi mazombii........???
 
Last edited by a moderator:

natembea na sindano ya ganzi
na ya sumu,akisumbua sana ya sumu inamuhusu
DIE to survival ataisoma namba!!
Haaa...yani besti unanitenga kisa figganigga anakutoa auti kila wikiendi...? afu ujue mwenzenu anakosa ile dawa ndo maana kaja kwangu ati!
 
Last edited by a moderator:
hebu ngojnimuite tumkalie kikao kwanza.Weee figganigga weee......... Hebu ukuje huku, hivi mrembo kama huyu ukimkosa utampata wapi dunia hii???? Au unataka utuletee ma wifi mazombii........???
mimi nipo ndugu yangu. mwambie wifiyo Heaven on earth nampenda sana. mwambie anitunzie ua langu japo naona vidume vya jf vinammezea mate. majukumu yananiandama lakini nmemuweka moyoni tena sana tu. mmwaaaa...!!!. mfikishie busu langu. mia
 
Back
Top Bottom