Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

we unapenda kuwakagua sana waume wa wenzio......

kuna yule mhindi pia jina lake lanishinda kitaja mie

hahahaaa......... Yule tunataka tumnyoeupara kwanza sehemu zote then tunaendelea na ukaguzi mwingine maana jana nilimkuta anamsitu wa kutisha

cc: dismynder1
 
Last edited by a moderator:
mimi nipo ndugu yangu. mwambie wifiyo Heaven on earth nampenda sana. mwambie anitunzie ua langu japo naona vidume vya jf vinammezea mate. majukumu yananiandama lakini nmemuweka moyoni tena sana tu. mmwaaaa...!!!. mfikishie busu langu. mia

hilo busu linatakiwa liambatane na hela kaka ndiyo nitamfikishia vizuri
 
Last edited by a moderator:
hahaaa! Heaven on earth, kwani shida yako nini? mkwanja upo wa kutosha, mgegedo wa haja..unawasikiliza hao kina Lady doctor na dismynder1...? figganigga amejichokea huko tandale saizi, jua kali...hembu njoo na thupu ya pweza jioni..na nakuhakikishia kesho huendi kazini..teh!

Eli79, huo mgegedo wa haja umeutoa wapi? Kwani ile siku niliubakiza? Au umeota tena?
Wan'shangaza atiiii....!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mi mwenyewe nalisubiria kwa hamu ili nikurushie hilo busu kwa m-pesa wii wangu.
Inamaana hadi saa hizi hujamfikishia tu? mbona m pesa nimetuma kitambo sana?. Heaven on earth huyu wifiyo kanistua.kama vipi tumuachie azifuatilie huduma kwa wateja. mimi ntakupa cash mwenyewe ili uweza pata hug nafsi yako iburdike. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom