Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

Inamaana hadi saa hizi hujamfikishia tu? mbona m pesa nimetuma kitambo sana?. Heaven on earth huyu wifiyo kanistua.kama vipi tumuachie azifuatilie huduma kwa wateja. mimi ntakupa cash mwenyewe ili uweza pata hug nafsi yako iburdike. mia

ile ilikuwa ya mtumaji bana, nasubiri ya mtumiwaji.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom