Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

Last edited by a moderator:
hata mimi ya hum yanaishia hum hum tu,

Mi nadhani walioko serious wana-pm-ana bwana..sasa humu utakuwa serious kweli~ hembu tumia medulla kidogo bwna, haa!
hujawahi kuona baadhi ya post zinafungwa....humu..hahahahahaaha..kalagabhao...huwahi kuona post watu wanatishiana wakionana watapigana?jiulize wamejuanaje?...mkuu najua kuliko unavyodhani....samahani lkn
 
Sasa mkuu, hao si walikutana, wakaanza urafiki, wakasemana mpaka wakafikia huko walipo! Nadhani tuwe serious kidogo...jukwaa lipo kwa ajili ya mada zisizo rasmi, utani na imaginations tu... ukitumia jukwaa linavyotaka wala hayakukuti hayo.
 
kwa sentensi hii nakupa POINT...ila mkuu kuna baaadhi wako serious..mayb mimi na wewe ndio tunachukulia poa
 
Back
Top Bottom