Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Kuna mada zingine wala hazina mguso wowote ila basi tu watu wanachangia kwa vile mwanzisha mada ni mshikaji na hiyo mada iliyoanzishwa inageuka kuwa kijiwe cha stori za ulevi na infii. Nothing substantive. Na ukiangalia watu waliochangia unakuta ni watu wasiozidi hata hata 7 na mada ina kurasa 25!!

lolz!!!!!!!!
 
Mkuu Balantanda usipotee sana kamanda tunakumiss na zile zetu za middle school ujue!!
Kakudo lea ameomba indirect thread yake ichangiwe ngoja tumjazie posts leo!

Majukumu mkuu wangu,usijali,tupo pamoja katika yale mambo yetu na soon tutaanza kuselebuka na mambo yetu ya zamani(usikose JF weekend hii),itabidi nicheki na wakuu wangu akina Mzee Mwanakijiji,Baba Desi,Sanda Matuta,Gang Chomba,FMES na wengine ili tuanze season mpya ya 'Enzi Hizo' ambayo nitapenda tuianze kumuangalia Daktari wa Muziki nchini hayati Ramadhani Mtoro Ongala(Dk.Remy Ongala),tutaingalia historia yake pamoja na kujikumbusha mashairi ya nyimbo zake lukuki.....
 
wape wapee eeeh vidonge vyao...wakimeza wakitema ni shauri zao....baadaye atasema lugha unayotumia haieleweki....l.o.l
Tumejitahidi inakaribia kufika page ya nne sasa, angejua hii thread angeianzisha asubuhi sasa hivi ingekuwa labda page ya 50 hivi na angekuwa na THANKS kama 150 hivi
 
Ahaaaa ahaaaa umeshindwa hoja waanza matusi halafu ujue uko nyuma haukuwa hivyo

I'm a certified 7th degree black belt jiu-jitsu master of rhetorical warfare. If you come at me with all that greasy ish..all that raspy ish...all that nonsense and ish...imma cut you...cut you down to size. Now try me you sick miserable son of a you know what...let's go at it.
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi


Duuuuuu hivi ni kweli, Kakudo jamani!!!!
 
Light travels faster than sound. That's why most people seem bright until you hear them speak.
 
i'm a certified 7th degree black belt jiu-jitsu master of rhetorical warfare
Certified my foot..........
if you come at me with all that greasy ish..all that raspy ish...all that nonsense and ish...imma cut you...cut you down to size.
ish...ish my foot......
now try me you sick miserable son of a you know what...let's go at it.
try you my foot.......
 
Heeee! Haya mazito.
Kwa mtazamo wangu hao watu ni watu wa kuinteract sana hapa jf na huchangia sredi nyingi kwahiyo wakipost zao huwapata wachangiaji wengi. Binafsi siwezi nikaöna sredi zao nikatoka bila kuchangia. .
Mimi penda michell, penda lizzz, penda the finest, penda ld, penda maria roza, penda kimey, penda dena amsi.
Penda sana veve
 
Ahaaaa ahaaaa he's not mad but he's PATHETIC

hivi ile hospitali ya JF Doctor iko wazi muda huu?nina wagonjwa wawili nataka niwaweke pale hadi kesho wana kichaa then asubuhi tuwahamishie mirembe......naomba sana ucheki.....naelekea kushindwa kuwa-handle.......:rain:
 
heeee! Haya mazito.
Kwa mtazamo wangu hao watu ni watu wa kuinteract sana hapa jf na huchangia sredi nyingi kwahiyo wakipost zao huwapata wachangiaji wengi. Binafsi siwezi nikaöna sredi zao nikatoka bila kuchangia. .
Mimi penda michell, penda lizzz, penda the finest, penda ld, penda maria roza, penda kimey, penda dena amsi.
Penda sana veve

hus na mimi je? Ntaanzisha sredi la kuninyanyapaa
 
Heeee! Haya mazito.
Kwa mtazamo wangu hao watu ni watu wa kuinteract sana hapa jf na huchangia sredi nyingi kwahiyo wakipost zao huwapata wachangiaji wengi. Binafsi siwezi nikaöna sredi zao nikatoka bila kuchangia. .
Mimi penda michell, penda lizzz, penda the finest, penda ld, penda maria roza, penda kimey, penda dena amsi.
Penda sana veve

mimi penda sana Husninyo na Kokudo na Via Mobile......:rain:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom