Wanajamvi

Sarafina1

Senior Member
Mar 28, 2011
153
85
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.

Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.

Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
 
Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!
 
Asante lizzy, uporoto nadhani atanisamehe kwani bado sjajua jinsi ya kuedit, nitajifunza kugonga thanks usijali
 
Mpenzi Sarafina1

Hii kunitaja mimi wa kwanza kunamaanisha mi ndo kinara? hebu angalia inbox yako, kuna PM nimekutumia. Afu usimwambie mtu.

Karibu, mimi naitwa babu mkaguzi a.k.a Big braza ODM, babu wa wajukuu wa kike. Are you he/she?
 
Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!

We mbona hujamgongea wakati amekupa maujiko? Uchoyo tu!
 
Asante lizzy, uporoto nadhani atanisamehe kwani bado sjajua jinsi ya kuedit, nitajifunza kugonga thanks usijali
Angalia hapo chini ya post yako kuna sehemu imeandikwa 'Edit post' au sijui topic..nenda hapo..badilisha alafu save!
 
Karibu sarafina, jisikie upo nyumbani tena chumbani kwa baba na mama.
 
Karibu jamvini....uone nguvu za kiibodi....
Usisahau michango yako ni thamani pia....twende kazi...
 
Karibu mwaya...ila kuna mtu umekosea jina lake hapo embu rekebisha asije akanuna...badala Uprotocol andika Uporoto!Alafu jifunze kugonga Thanks mapema... kuonyesha shukrani pale unapokubali/furahi/ridhika!Unapendwa pia!

Ajifunzie kwangu basi, wewe uko mobile hauoni hata hiyo senksi
 
sijui ata nimeingia huku yanini kumbe cpo .....ngoja nisepe kiaina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom