Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

The Following User Says Thank You to kokudo For This Useful Post:
hashycool (Today)......L.O.L

wewe ndo mchizi wangu.....mpe thanks bahili huyo aelewe....anapenda attention ka nini!!
 
KOKUDO ndo VIA MOBILE.....mna mjibu mtu huyo huyo.....ana ID zake mbili.....:A S 13::A S 13:

Wacha zako hizo...nikikwambia thibitisha utathubutu??? Hebu acha kubashiri...fani ya watu hiyo...
 
Kuna mada zingine wala hazina mguso wowote ila basi tu watu wanachangia kwa vile mwanzisha mada ni mshikaji na hiyo mada iliyoanzishwa inageuka kuwa kijiwe cha stori za ulevi na infii. Nothing substantive. Na ukiangalia watu waliochangia unakuta ni watu wasiozidi hata hata 7 na mada ina kurasa 25!!

Kokudo
Naona tatizo lako laweza kuwa hapa!! (kwenye RED)

Kokudo
Join Date : 26th October 2010
Posts : 257
Thanks1Thanked 26 Times in 23 Posts

Rep Power : 21
 
ha ha ha ha ha.....namleta jukwaa letu awehuke then atulie....baada ya shughuli kama ya yule simba wa jana....l.o.l:wink2::rain:

Hahah hahha kweli safi kabisa kazidi huyu au ana lake jamboo
 
Kuna mada zingine wala hazina mguso wowote ila basi tu watu wanachangia kwa vile mwanzisha mada ni mshikaji na hiyo mada iliyoanzishwa inageuka kuwa kijiwe cha stori za ulevi na infii. Nothing substantive. Na ukiangalia watu waliochangia unakuta ni watu wasiozidi hata hata 7 na mada ina kurasa 25!!
Kumbe huwa wakereka na kuwashwa basi endelea hivyo........you are just pertaining to the hedgehog
 
Inategemea na creativity mkuu na namna ya kuwavuta watu. Mwenzenu nilikuwa kila nkileta wanachangia mmoja au wawili na me mwenyewe nkajua siwagusi. So nimebaki kusubiri walete tu nichangie za kwao. Siyo kwamba unatengwa mkuu ila ni namna tu ya kuwashika.
 
homu boyi na Thanx tumpatie ama? akimaliza hii anaweza kuja kusema tunamnyima thanx...
JF inanipa raha sana kila siku vituko haviishi.

Mpeni bwana kweli huwa thanks zinatoka kiukoo tumgongee tafadhali
 
"Nothing in the world is more dangerous than a sincere ignorance and conscientious stupidity."
 
Inategemea na creativity mkuu na namna ya kuwavuta watu. Mwenzenu nilikuwa kila nkileta wanachangia mmoja au wawili na me mwenyewe nkajua siwagusi. So nimebaki kusubiri walete tu nichangie za kwao. Siyo kwamba unatengwa mkuu ila ni namna tu ya kuwashika.

Mhh ya kweli sweetpie
 
Kokudo anaweza kuwa na hoja nzuri tu hapa. Sina hakika na uwasilishwaji wake ila anachokisena kipo na kipo wazi kabisa.

In my very honest opinion Kokudo ana ujumbe kama alivyosema mkuu hapo juu may be challenge hapa ni namna alivyoiwakilisha na huenda hiyo ni moja ya sababu huwa anakosa support kwenye mabandiko yake. Ila anachokisema kipo na pengine inaweza kuwa ngumu kukiavoid so ni busara kukikubali.

Binafsi nililitafakari hili just like a week ago nikaconclude kwamba hiki kitu anachokisema Kokudo kipo na sababu ziko nyingi, mfano kuna watu ni marafiki humu JF so rafiki yangu akiwa na thread nitachangia tu hata kama ni upupu, wengine wanafahamiana so ni rahisi kuvutika kuchangia, wengine wana majina makubwa kwa sababu kadhaa mfano Mzee Mwanakijiji (sorry kwa kutumia mfano wako mweshimiwa). Kwa mfano Kokudo akiwa na post akaipost mwenyewe michango definitely itakuwa michache kuliko say akimpa post hiyo hiyo mtu kama Mwanakijiji ampostie on his/her behalf. This is the fact and we cannot fight against it. Nadhani tukubali reality kwamba tumefika stage issue ni kuwa nani kapost na si nini kimepostiwa let's face it wakuu.

Kwako Kokudo na wengine may be, nadhani itakuwa ni makosa makubwa sana kutaka kupandisha self esteem yako kwa kuangalia support unayoipata kwenye threads zako. Cha muhimu nadhani ni kutoa ujumbe wenye weight kwenye threads zako ili hata zisipochangiwa ujuwe kuna sababu nyingine nje ya uwezo wako then you leave it.
 
wenzako wanajua jinsi ya kuwa wachokozi....we post thread ya uchokozi ambayo haitukani watu au kukiuka maadili ya JF uone watu wanavyochangia.

kwa mfano post kitu kama "Hivi kwa nini wanawake wanapenda nanihii" halafu utaona......ofcourse kwenye page yako ya kwanza, weka fikra za uongo uongo ili watu waje kuzicrash.......yaani utachangiwa weee mpaka ukome.
 
"Nothing in the world is more dangerous than a sincere ignorance and conscientious stupidity."

wape wapee eeeh vidonge vyao...wakimeza wakitema ni shauri zao....baadaye atasema lugha unayotumia haieleweki....l.o.l
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Jibu ni rahisi! Wanachangiana kwenye post zao, kwa hiyo hata ukikuta post ya mmoja wao imechangiwa jaribu kuangalia wachangiaji, utakuta ni wale wale. Halafu inategemea na mchango, kwa mwingine hata neno moja tu eg 'LOL' kwake ni post!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom