Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Ngoja tumchangie leo zifike hata alfu afurahii lol....Mkuu........yeye si atanaka tuchangie........tunachangia sasa! mbona ameingia mitini!!
:A S 112::A S 112:
Never see CRAP like this....!!:A S 112:
Ngoja tumchangie leo zifike hata alfu afurahii lol....Mkuu........yeye si atanaka tuchangie........tunachangia sasa! mbona ameingia mitini!!
:A S 112::A S 112:
Ahaaaa ahaaaa ahaaaaa:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:inawezekana topic zao ni kali sana na zinavutia watu humu JF hasa jukwaa la mapenzi.
Sababu nyingine wameenda kwa sangoma ili post zao zipate wachangiaji.......joke wazee:wink2::hand:
Ngoja tumchangie leo zifike hata alfu afurahii lol....
Never see CRAP like this....!!:A S 112:
Ngoja leo tumjazie page mkuu!! kwani kuna gharama basi kucheza na keyboard??Yani wivu hadi kwenye thread??
Kokudo, kaza buti, cha maana ni kama unafikisha ujumbe wako kwa jamii.... dont worry kabisa
days will come
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Sio vizuri kunifanyia hivyo mtoto wa mwenzioMaria Roza anasema,
Kama huendi kwa jirani usitarajie atakuja kwako :wink2::wink2::wink2: jioni njema dia
Nahakikisha hii thread leo inafika page hadi ya 20 l.o.l
Mkuu Balantanda usipotee sana kamanda tunakumiss na zile zetu za middle school ujue!!Ukiona watu hawachangii sredi uliyoanzisha ujue HAINA MASHIKO.....Kuhusu muda wa members ndani ya JF angalia joining dates zao utajua wana muda gani......
Hebu msaidie kuwasilisha basi ili tumuelewe!Kokudo anaweza kuwa na hoja nzuri tu hapa. Sina hakika na uwasilishwaji wake ila anachokisena kipo na kipo wazi kabisa.
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Yani wivu hadi kwenye thread??
Kokudo, kaza buti, cha maana ni kama unafikisha ujumbe wako kwa jamii.... dont worry kabisa
days will come
Aombe muongozo kwanza kabla ya kuwasilisha l.o.lHebu msaidie kuwasilisha basi ili tumuelewe!
Hebu msaidie kuwasilisha basi ili tumuelewe!
Sio vizuri kunifanyia hivyo mtoto wa mwenzio
Hommie hebu fanya fanya hii thread ifike page ya 20 mbona unachelewaMkuu Balantanda usipotee sana kamanda tunakumiss na zile zetu za middle school ujue!!
Kakudo lea ameomba indirect thread yake ichangiwe ngoja tumjazie posts leo!