Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

hahaha!wifi yangu naona sred inachafua hali ya hewa,,usije kutolewa ngeu tu tukashindwa kuwa wote dinner,,

mi mtu mzima wifi hanipati kwa matusi ya kitoto.....hapa nacheka tu sema sipendi mtu amguse kaka yangu The Finest.....sipendi.....:hand:
 
mi mtu mzima wifi hanipati kwa matusi ya kitoto.....hapa nacheka tu sema sipendi mtu amguse kaka yangu The Finest.....sipendi.....:hand:

2.jpg
 
Finest njoo hapa,
Via mobile kapumzike.

Warning!!!!!!!!!!!!!!!
 
mi mtu mzima wifi hanipati kwa matusi ya kitoto.....hapa nacheka tu sema sipendi mtu amguse kaka yangu The Finest.....sipendi.....:hand:
Umeona eheeee ngoja nimuache aendelee kuhangahika
 
Heeee! Haya mazito.
Kwa mtazamo wangu hao watu ni watu wa kuinteract sana hapa jf na huchangia sredi nyingi kwahiyo wakipost zao huwapata wachangiaji wengi. Binafsi siwezi nikaöna sredi zao nikatoka bila kuchangia. .
Mimi penda michell, penda lizzz, penda the finest, penda ld, penda maria roza, penda kimey, penda dena amsi.
Penda sana veve
Asante my dia!Mimi napenda wewe pia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom