Da Dinnah
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 504
- 181
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Pole kakudo labda ujaribu kuongeza marafiki kwenye profile yako nafikiri hawatakuangusha kwenye thread nyingi huwa wakati mwingine wanabaki marafiki wanachat tu ndio unaona post zinakuwa ndingi. pia jifunze kuthanks watu basi mimi sijaona thanks yako