Avatar ya mtu inaweza kuchangia mtazamo wa wana JF juu yako?

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,320
1,369
Habari wakuu humu JF kuna avater za kila aina watu wanazitumia kujitambulisha.
Je unapoona avater ya mtu fulani kwa mfano MHOSNI,LIZZY,MICHELLE,KLOROKWINI,CPU,MARIA ROZA,SUZY,HELEN,THE FINEST,KIBWEKA,KISUKARI,MR COOL,DR WA UKWELI,DENA,DUME LA MBEGU,KATAVI,VISIBLE,LIZZY,JALUOJEUPE,FIRST LADY,LD na wengine weeeengi unapata mtazamo flani juu yao katika uhalisia wao?
 
Voice of Reason..X-Paster.. Husninyo...BubuAtakaKusema..Baba Lao...Babu Lao...
Avatar zingine zipo poa...kuacha hizo wajificha ficha!
Lizzy umemtaja mara mbili au wapo wawili humu JF?
 
Humu kuna thread ilianzishwa ya nini maana ya jina (avatar) unayoitumia hapa JF.
Huko kuna ufafanuzi mzuri na unapendeza !
Itafute na wewe!.
 
Wakati mwingine!Nadhani avatar inamwakilisha mtu kwa maana ile anayotaka yeye!
 
Dearest naona hii thread Charger kakufungulia wewe -amukutaja mara 2 kaguswa kama ulivowagusa wengi,mimi binafsi naamini unafanana hivyo.
 
Nafikiri sijaiona hiyo Maalimu.Nani aliianzisha niitafute?
Humu kuna thread ilianzishwa ya nini maana ya jina (avatar) unayoitumia hapa JF.
Huko kuna ufafanuzi mzuri na unapendeza !
Itafute na wewe!.
 
Voice of Reason..X-Paster.. Husninyo...BubuAtakaKusema..Baba Lao...Babu Lao...
Avatar zingine zipo poa...kuacha hizo wajificha ficha!
Lizzy umemtaja mara mbili au wapo wawili humu JF?
heeee!
Husninyo nae anayo avatar.
Nani kamuwekea?
Ngoja nikacheki profile lake.
 
Dearest naona hii thread Charger kakufungulia wewe -amukutaja mara 2 kaguswa kama ulivowagusa wengi,mimi binafsi naamini unafanana hivyo.

Hahaha!Hamna bana...kajichanganya tu mkaka!Ngoja nimuulize mtu alafu ntakwambia!
 
Voice of Reason..X-Paster.. Husninyo...BubuAtakaKusema..Baba Lao...Babu Lao...
Avatar zingine zipo poa...kuacha hizo wajificha ficha!
Lizzy umemtaja mara mbili au wapo wawili humu JF?

Kanipenda ndo maana kanitaja mara mbili kuonyesha msisitizo!
 
Habari wakuu humu JF kuna avater za kila aina watu wanazitumia kujitambulisha.
Je unapoona avater ya mtu fulani kwa mfano MHOSNI,LIZZY,MICHELLE,KLOROKWINI,CPU,MARIA ROZA,SUZY,HELEN,THE FINEST,KIBWEKA,KISUKARI,MR COOL,DR WA UKWELI,DENA,DUME LA MBEGU,KATAVI,VISIBLE,LIZZY,JALUOJEUPE,FIRST LADY,LD na wengine weeeengi unapata mtazamo flani juu yao katika uhalisia wao?
dah...

fm academia wabaya.........

wapi mama kristabella mwingira, kitokololo muzuri sana, papa msofe
ndama mutoto ya ng'ooooooombe
 
Habari wakuu humu JF kuna avater za kila aina watu wanazitumia kujitambulisha.
Je unapoona avater ya mtu fulani kwa mfano MHOSNI,LIZZY,MICHELLE,KLOROKWINI,CPU,MARIA ROZA,SUZY,HELEN,THE FINEST,KIBWEKA,KISUKARI,MR COOL,DR WA UKWELI,DENA,DUME LA MBEGU,KATAVI,VISIBLE,LIZZY,JALUOJEUPE,FIRST LADY,LD na wengine weeeengi unapata mtazamo flani juu yao katika uhalisia wao?
hii ni kweli na haina utata kabisa. mimi ni mzee wa ma press conference
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom