Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

hitting point!!/
practise utaweza /
binafsi nimewahi fikisha reply 1500.
tafuta ajenda zenye mguso kwa jamii.
 
Ndo tunasherekea 10 years ya JF sio? Where is @Kakudo?
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

ITAKUWA UNAPOST PUMBA MKUU napitaaaa mbona hii pumpa imechangiwa sana
 
Dah kweli jamaa bingwa wa pumba!!! Katika ubora wake Hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom