Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

hivi ile hospitali ya JF Doctor iko wazi muda huu?nina wagonjwa wawili nataka niwaweke pale hadi kesho wana kichaa then asubuhi tuwahamishie mirembe......naomba sana ucheki.....naelekea kushindwa kuwa-handle.......:rain:
Umeona eheeee
 
hivi ile hospitali ya JF Doctor iko wazi muda huu?nina wagonjwa wawili nataka niwaweke pale hadi kesho wana kichaa then asubuhi tuwahamishie mirembe......naomba sana ucheki.....naelekea kushindwa kuwa-handle.......:rain:

nimecheka saaaaana!iko wazi aisee 24/7
 
Tumejitahidi inakaribia kufika page ya nne sasa, angejua hii thread angeianzisha asubuhi sasa hivi ingekuwa labda page ya 50 hivi na angekuwa na THANKS kama 150 hivi

he he! Dah, tuongee tu maoff topics hapa ili mradi dude lisonge mbele.

Mi nafikiri mtu anaweza kupata comments tano na zikawa msaada mkubwa kwake kuliko comments mia ambazo hazina maana.
 
Heeee! Haya mazito.
Kwa mtazamo wangu hao watu ni watu wa kuinteract sana hapa jf na huchangia sredi nyingi kwahiyo wakipost zao huwapata wachangiaji wengi. Binafsi siwezi nikaöna sredi zao nikatoka bila kuchangia. .
Mimi penda michell, penda lizzz, penda the finest, penda ld, penda maria roza, penda kimey, penda dena amsi.
Penda sana veve
Mbona hawajakugongea senksi? Au wao hawakupendi?
 
Hivi kumbe kuna umuhimu wa id mbili just incase??? Yaani anayosema michelle nahisi ni kweli
 
kweli bwana nilikuwa sijanote TF
The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Wed)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Thurs)




The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Fri)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Sat)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Sun)

The Finest (Today)​
 
wifi unacheka mimi nalia na kaka yako TF,please njoo utusaidie tuwapeleke hospitali....please hurry up....:A S 13:

hahaha!wifi yangu naona sred inachafua hali ya hewa,,usije kutolewa ngeu tu tukashindwa kuwa wote dinner,,
 
The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Wed)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Thurs)




The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Fri)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Sat)

The Following User Says Thank You to Dinnah For This Useful Post(Sun)

The Finest (Today)​

The epitome of lost marbles!
 
em achana na huyo ****** kaka yangu......asikuharibie siku yako kwa inferiority complex yake.....:rain:

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Wed)

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Thurs)

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Fri)

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Sat)

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Sun)

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:(Mon)

The Finest (Today)​
 
Lakini ni kweli kwamba wengine wakiandika hata sentensi isiyo na maana sana inapata wachangiaji wengi kwa sababu ya umaarufu wao. Kokudo hajakosea, lakini hii ya sasa itapata wachangiaji wengi hao maarufu kwa sababu watataka kujitetea na kumliwaza. Wakati mwingine mtu anajikunja sana kuandika kitu kinachoashiria umuhimu kwa jamii lakini mwitikio huwa hafifu sana. Nadhani wengine wanakuwa na interest na jina la mtu. Kwa mfano nikitoa mfano wa kizushi tu, siku moja Maria Roza alitoweka kwa kisingizio kwamba amepigwa panga na moderator. Hiyo siku ikasababisha watu waulize sana yuko wapi na kwa nini, wakisema bila Maria Roza JF haiendi na hata moderator akasema Maria Roza mwenyewe ameomba kwa sababu ana kazi nyingine muhimu. Unaona hapo? Wewemwingine hata usipoonekana mwaka nobody senses your absence, sanasana mashine itakuuliza inakumiss sana (labda ni moderator sijui). Hata ukifa shauri yako, hakuna atakayeuliza umepotelea wapi, mbaya zaidi na majina ya bandia ndio kabisa, wengine tupo ofisi moja wala hatujuani sababu ya majina ya bandia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom