Chetuntu
Sema Via telephonee!
Chetuntu
Sema Via telephonee!
Nakupenda wewe jina lako
hahahaaa maana yake mdogo, mtundu, mzuri,
hahahaaa maana yake mdogo, mtundu, mzuri,
Duuh! kurasa 40, hii si ni rekodi jamani?
Wewe ni mdogo, mtundu, na mzuri?
Nilipewa utotoni, sa hv ni kibonge makusudi.
Chetuntu ni lugha gani?
Hii ni rekodi nakwambia
Mmmm vibonge watamu...
mmmhhhh!
Gaga jambo dear!
Sijambo kidogo kuna kitu kinanisumbua ila nikijisikia kulia naenda kwenye thread ya uporoto then narudi kwingine si unajua ile ni ya malalamiko?
Pole mwanakwetu, uporoto huyo mmmh acje kukufuta machoz !!
Virgmark Hotel (shy town)saa 2 ucku na kuendelea karibuni
<br />
<br />
Peleka Karena bana kuna upepo sana pale. Seif hotel mmh Butiama nako aah
<br />Mie napendaga Sumayi iliyo jirani na Karena. Nitakuwa hapo kuanzia 20 hadi 26 Machi. Karibu tulambe ulabu na nikuvue kilemba. Nitafutie pweza.