Hahahaha jaman jaman ndo nimo humu jamvn na kahawa tayari nshapewa
Dena nimekuletea mtu wako haya kuleni raha!!!!!!!
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Zumbe kama wewe umeona pumba huo ni mtzamo wako pia km ni pumba ungepita mlango wa nyuma but kma umeingia ndani tena ukavta na kiti na ukachangia bla shaka hata hayo mawazo uliyntoa ni PUMBA tena zisizo na hata chenga za mchele kiasi cha ndege kuztamani. Alafu huku hakuna siasa au umekuja ku2chafulia khali ya hewa?au na ww unautafuta umaarufu kuptia hapa?kwani nikipata umaarufu hapa napewa 2zo?au napewa bandle?ndugu yangu ucpoteze muda kunyoosha suti kwa harusi ambayo hukuitolea mchango mchana mwema Mr ZUMBE.

He he he hii post imenichekesha sana dah you made my day
Halafu wewe Dena wewe.....dah ila nimecheka kweli aiseee sijui Kokudo yuko wapi
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
ahh pole mjomba
bt akuna kujuana umu wewe...inategemea unapost kitu gan..ukipost point lazima watu watachangia
km unapost upupu wat do u xpect?
Ha ha haLD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi