Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hahahahahahaha siamini imefikia pages zote hizi, ama kweli harambee imelipa
 
<br />
<br />
Peleka Karena bana kuna upepo sana pale. Seif hotel mmh Butiama nako aah

Dena Amsi umeshika lindo hadi sa hizi pole kapumzike. Acha Finest na Hashycool wafanye doria, then Kokudo aingie night shift.
 
<br />
<br />
Peleka Karena bana kuna upepo sana pale. Seif hotel mmh Butiama nako aah
Kha!we dena mpaka huku unakujua?Karena kulishachuja sasa hv ni Liga,katemi,virgmark nk umenifurahsha sana.kwani we uko pande zipi hapa tz?mama yngu hizi nickname unaweza kua hata jirani yangu alafu ckujui.
 
Hivi jamani mbona hamchangii kwenye thread yangu?acheni ubaguzi....si vizuri,umesikia wewe Chetuntu,TF,Kokudo na Hashycool?
Manchester United my a.....!:A S 13:
 
Hivi jamani mbona hamchangii kwenye thread yangu?acheni ubaguzi....si vizuri,umesikia wewe Chetuntu,TF,Kokudo na Hashycool?
Manchester United my a.....!:A S 13:
Kwani wanacheza leo l.o.l halafu wewe unataka:spider::spider:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom